Kazi mpya

Kazi mpya

Ha ha ha ha haaaa sasa nnawajibu wote kwa pamoja ili muelewe na msinisumbue

Kila anaetoa ajira huwa anakuwa na vigezo vyake na njia zake anazohitaji kutumia kumpata mtu atakaefit kwenye sehemu husika hivyo huwezi nifundisha jinsi ya kuweka tangazo la kazi wakati ni mimi ndio nimefikiria kutoa hivyo na mfano mzuri mtu wa kwanza kuuliza swali nimemuelewesha na mtu wa pili alisema nimeshajibu nikamwambia bado kuna vitu vingi vya udadisi,lakini bila kuelewa basi tu kwa vile unauwezo wa kureply ukaanza kujibu mara utapeli mara hasira.

Nnakasirika kuona mtu anatetea ubongo lala hata kushughulisha akili yako hutaki unataka kutafuniwa kila kitu kwa vile ni ya mwisho kuwajibu pia mtambue sasa sababu ya ndugu,marafiki,wanenu kukosa kazi ni kwa sababu wamehitimu tu na wanavyeti vyao ila ubunifu vichwani mwao hakuna na waajiri wanahitaji mtu mbunifu na shupavu,ndio maana kazi ni za kindugu kama sio mbunifu na shupavu kazini tofauti wanarudiwa wazee sababu wanaaminika kuwa na busara sababu wanaomiliki biashara wengi sasa hivi ni vijana.pia vyuo ni vingi ambavyo wahitimu wa 0 wanaenda unategemea uniletee cheti cha 0 ili nikupe kazi ni ngumu ila inabidi kuweka uzoefu mkubwa ili ufae hata kama ni 0 utakuwa umeshaizoea kazi sasa hvi hali inazidi kubadilika kutoka kwenye vyeti,uzoefu sasa ni uwezo wako wa kufikiri,kupambanua na kudadisi ndio vipo sokoni, utatuma mno Cv kama hakuna ubunifu hautaitwa hata katika usaili na ukiitwa hautafanikiwa.

Badilikeni haijalishi ni weledi gani sasa hivi mwalimu utamkuta ni cashier na cashier ni mtu wa mapokezi hakuna professionalism ila ni uwezo wa kuihandle kazi.nimewaelimisha kwa manufaa ya wote muelewe na pia yote mliyoandika hayajarudisha nyuma wenye uhitaji na kazi, zaidi ni naendelea kupokea cv na wewe uko bize kuandika ni utapeli haikusaidii na wala haina madhara kwangu, jitambue ni muda wa kuamka na kufikiria mara 2 kabla ya kuandika.

Alie kwambia tangazo lako litabadilisha elimu ya watz ni nani?
Kwataarifa yako mwenye ziro atabaki kua na ziro na mwenye vyeti vizuri atabaki kua na vizuri.
Pia nilisahau kua hata mashirika ya kimataifa nayo huwa yanatangaza kazi mf.UN na wapo watz wengi wanagonga mzigo nchi za nje.kwa ufaham wangu hawasumbuliwi kihivyo kwenye namna ya kuajiri ispokua ww ndo unatuletea makeke hapa.
TOKA HAPA na mabiashara yako ya alovera,dawa za mswaki na vicksi peleka hukoooooo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom