echuma
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 311
- 80
Wanahitajika watu wa masoko watatu,Mkoa ni Dar es salaam,Kazi yao kubwa itakuwa ni kutafuta wateja na kufanikisha mipango na malengo ya kampuni,uzoefu haijalishi sana hata fresh from graduate,elimu kuanzia kidato cha 4 na awe na uwezo wa kuongea na kuandika vizuri lugha ya bashara ya kimataifa,malipo atapokea kamisheni kwa wiki na kila kazi atakayoileta atapata 20% ya faida.
Jinsi ya kutuma maombi.
Tuma Cv na Cover letter ukiwa umeeleza kwanini umeamua kuomba kazi kwetu na unauwezo gani na unachokiombea kazi,tuma kwenda legacyimpression@gmail.com au tuma kwa Pm ( Private Message).Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 8/11/2013 na kuanza kazi ni haraka baada ya kupita usaili.