Ndelyaukiwa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 267
- 347
Dah ningekuwa maeneo ya karibu ningekuja hata leo
Ushampata mtu Mkuuu???Sitaki mtu mwenye masters degree.. Nataka certificate tu elimu ya chini. Mazingira ya kazi ni mazuri sana na muda wa kazi ni sa kumi jioni hadi sa nne usiku.
Mnataka mshahara wa 1,000,000? Nendeni kwa Magufuli
0764970976 Huyu binaadam wa kike anahitaji hiyo kaziHi Kazi ipo DSM .. Dakika tano kutoka moroko - airtell
Ni mgahawa mdogo unapika vyakula vya kigeni.
- wateja wetu ni wazungu, wachina na wahindi.
-tips za kumwaga.
-kazi ni kutengeneza coffee (ceremony ), na kazi zingine za kiweiter.
- Mshahara ni fixed 120,000/=
Muda wa kazi ni kuanzia sa kumi na nusu jioni hadi sa nne na nusu usiku.
Jumapili OFF.
Namba yang....
Piga tu kama una uhakika na huishi mbali tusipotezeane muda .
Umri 18-28. Years of age..
Experience sio lazima ila utapata training..
Wenye ndugu wapeni ndugu zenu hii kazi wapeni namba wanipigie ukicelewa wenzako wataipata.
UPDATEs:
Ishapata mtu.. Asante i kwa wote mliokuja kwenye interview
UmechelewaMm nataka