je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,948
- 3,718
Nimekaa nafikiria tangu juzi nikajisemea moyoni hivi hawa jamaa kauka nikuvae mabeki wa Simba Tshabalala Zembwe Jr na Kapombe mishahara yao ni kiasi gani? Maana sio kwa kazi ile wanayopiga, kupanda na kushuka sio kazi ndogo ndugu zangu.
Simba waangalieni hawa vijana wanatumia energy sana na Mpira ni mchezo wa muda mfupi tu. Umri ukikutupa mkono ndio basi inabidi ufungue duka utafute riziki kwengine
Simba walipe hela ya kutosha hawa vijana, wanavuja sana jasho uwanjani.
Kuwalipa wakina Sawadogo mishahara minono huku mkiwachukulia poa wazawa na mishahara ya million 3 sio poa kabisa. Wapeni hela nono wajivunie vipaji vyao.
Note: Vijana wangu mkiona hamuelewi tafuteni timu hata South yenye maslahi mazuri kidogo, hata msipocheza kila mechi huko South mshahara utawabeba katika maisha.
Abdi Banda anawazidi mshahara mara 5 zaidi wakati nyinyi mna fame kubwa hapa nchini lakini mshahara kiduchu, ii sio sawa. Tuthamini vya nyumbani.
Feitoto kawakataa wale jamaa kwa vimishahara kiduchu. Tuache kucheza kwa uzalendo, Mpira ushabadilika.
Mbona wadhamini wanamwaga mihela katika timu na sisi tunazipokea bila kuwatangazia kizalendo?