Kawe wasema: Halima James Mdee 10 Yatosha

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,507
141,236
Wakazi wa jimbo la Kawe wanamshukuru aliyekuwa Mbunge wao dada Halima Mdee kwa kuwawakilisha bungeni na kwamba sasa imetosha apishe wengine.

Wakizungumza katika kikao cha maendeleo Kunduchi wakazi hao wamemtakia kila la kheri huko atakapokuwepo na kwamba wao wataendelea kumkumbuka kwa yale machache aliyowafanyia.

Maendeleo hayana vyama!
 
Wakazi wa jimbo la Kawe wanamshukuru aliyekuwa mbunge wao dada Halima Mdee kwa kuwawakilisha bungeni na kwamba sasa imetosha apishe wengine.

Wakizungumza katika kikao cha maendeleo kunduchi wakazi hao wamemtakia kila la kheri huko atakapokuwepo na kwamba wao wataendelea kumkumbuka kwa yale machache aliyowafanyia.

Maendeleo hayana vyama!
Siyo kwamba Yohana mbatizaji ndiyo kasema ?

Kura siyo za siri tena safari hii. Bali ya wazi vikaoni ?!
 
Duh!sijajua kwa Nini CCM manatapatapa wakati mlishasema Harudi mtu bungeni asipokuwa kijani.sasa mbona mnaweweseka.Hicho kikao ulikaa wewe na Nani hao,lete Summary ya kikao chote hapa na picha za wanakikao maana. Ni mkutano wa hadhara ilikuwa,au ni kikao Cha familia ya nzi wa kijani?
 
Lumumba mmkobize kutengeneza saikolojia zetu kujikinga na uchafu mtakaofanya kwenye masanduku ya kura.
 
Wakazi wa jimbo la Kawe wanamshukuru aliyekuwa Mbunge wao dada Halima Mdee kwa kuwawakilisha bungeni na kwamba sasa imetosha apishe wengine.

Wakizungumza katika kikao cha maendeleo Kunduchi wakazi hao wamemtakia kila la kheri huko atakapokuwepo na kwamba wao wataendelea kumkumbuka kwa yale machache aliyowafanyia.

Maendeleo hayana vyama!
Mkimwacha Mdee Kawe itakuwa wolowolo kabisa.
 
Wakazi wa jimbo la Kawe wanamshukuru aliyekuwa Mbunge wao dada Halima Mdee kwa kuwawakilisha bungeni na kwamba sasa imetosha apishe wengine.

Wakizungumza katika kikao cha maendeleo Kunduchi wakazi hao wamemtakia kila la kheri huko atakapokuwepo na kwamba wao wataendelea kumkumbuka kwa yale machache aliyowafanyia.

Maendeleo hayana vyama!
Nina uhakika hao waliotamka hivyo ni wanaccm, kumbuka 2015 ccm ilipata kura haikupata sifuri sasa wale walioipigia kura ccm ndio wametamka hayo, pia waambie kuwa halima ni mwenyekiti bawacha kwahiyo wakati wao hela za khanga walizohongwa zimeisha mwenzao atakuwa bungeni kwa mlango wa viti maalum
 
Wakazi wa jimbo la Kawe wanamshukuru aliyekuwa Mbunge wao dada Halima Mdee kwa kuwawakilisha bungeni na kwamba sasa imetosha apishe wengine.

Wakizungumza katika kikao cha maendeleo Kunduchi wakazi hao wamemtakia kila la kheri huko atakapokuwepo na kwamba wao wataendelea kumkumbuka kwa yale machache aliyowafanyia.

Maendeleo hayana vyama!
Membe anataka kuchukua fomu ya kugombea Urais ndani ya CCM ili ajipime na Mwenyekiti, Je Mtukufu yuko tayari kuruhusu hilo?
 
Back
Top Bottom