Kawe kimenuka: Milio ya risasi yasikika!

Kawe kimenuka: Milio ya risasi yasikika!

Ccm bwana! mbona hawataki kukubali matokeo au walijua wao ndo wenye nchi kama wanavyojinadi kwenye majukwaa!!!!
 
Watanzania tumefumbwa macho! CHADEMA ni tawi la CCM na haitakaa itokee hata siku moja rais atoke nje ya ccm!

kubali ukatae huo ndiyo ukweli
 
Watanzania tumefumbwa macho! CHADEMA ni tawi la CCM na haitakaa itokee hata siku moja rais atoke nje ya ccm!

kubali ukatae huo ndiyo ukweli
Unajitoa akili kwa sababu ya buku7!
 
Ndicho kilicho tokea. Aliekuwa anaetetea kiti cha huenyekiti wa mtaa, kaja kufukuza watu kupiga kura wakiwa kwenye line. Wakati sheria inamruhusu mtu kupiga kura kama muda ukifika akiwa kwenye mstari.
Jamaaa amekuja kufukuza watu, watu wamemgomea kuonyesha kujua haki zao, lakini cha ajabu aliwapigia simu polisi wakaja kutawanya watu na kufunga kituo.
Polisi walionekana wakija na box jingine la kura.

Hii imetokea mtaa wa Kawe mzimuni.

Muongo mkubwa wewe mm nipo kawe naangalia mambo ya usalama sehemu zote za kawe.Hakuna kitu kama hicho polisi waje na box wamelitoa wapi?
 
kwa taarifa.Jimboni kwa Tundu lisu kata ya mang'onyi ina vijiji vinne.vijiji vitatu chadema wamechukua uenyekiti.vitongoji nane chadema tumeshinda.Bado nafuatilia vijiji vingine.
 
Kuhusu poti poti jana alikamatwa na polisi na kupelekwa kituo cha polisi acha ujinga kusema poti poti ndio rais wa kawe ikiwa ameolewa na angekuwa rais au mtu mjanja asingekubali kwenda kukaa ukweni baada ya kukosa kodi ya chumba ovaa
 
alitoka jana ileile
kawe muzmni CHAEMA walikubli matokeo vizurit abda uko ukwaman
 
Ndio alitoka jana ila chadema ilishinda ila kama ujuavyo kulikuwa na mchezo mchafu ambao kama ww haupo kwenye system ya hasaan a k a nyani na afisa mtendaji ni ngumu kujua
 
Hata ukiangalia ngonyani mchana alivaa suti ya kizamani baada ya kuona hali ni tete alikimbilia nyumbani kubadili suti yake na kuvaa gagulo la mazoezi uku azimio akimliwaza kwa soda uku mimacho ikimtoka mpaka saa 12 chadema ilikuwa inaongoza kwa kura 34
 
Kuhusu poti poti jana alikamatwa na polisi na kupelekwa kituo cha polisi acha ujinga kusema poti poti ndio rais wa kawe ikiwa ameolewa na angekuwa rais au mtu mjanja asingekubali kwenda kukaa ukweni baada ya kukosa kodi ya chumba ovaa

Ebu tuelezee kidogo huyo poti poti ndo nani nimeona anatajwa tajwa humu
 
milio ya mabomu,risasi kwa cku ya uchaguzi..ilikua kawada mno haswa wale upande mwingine ndo ttzo.hata kwetu hari ilikua mbaya sn kiasi cha kutishia maisha ya watt kutokana na bumu za machoni.
 
milio ya mabomu,risasi kwa cku ya uchaguzi..ilikua kawada mno haswa wale upande mwingine ndo ttzo.hata kwetu hari ilikua mbaya sn kiasi cha kutishia maisha ya watt kutokana na bumu za machoni.

Kwenu wap ss
 
Back
Top Bottom