Kawe kimenuka: Milio ya risasi yasikika!

Kawe kimenuka: Milio ya risasi yasikika!

Tegeta kunduchi magamba yamekimbia ba sanduku la kura huku policcm wakiangalia tuu...magamba Qushney!
 
kinondoni mjini ccm wameharibu matokea.....walikuwa wanapoteza......
ccm washafeli wanalazimisha mambo tu
 
Labda kama mmechukua masanduku ya kura kama kwingineko...

Ndicho kilicho tokea. Aliekuwa anaetetea kiti cha huenyekiti wa mtaa, kaja kufukuza watu kupiga kura wakiwa kwenye line. Wakati sheria inamruhusu mtu kupiga kura kama muda ukifika akiwa kwenye mstari.
Jamaaa amekuja kufukuza watu, watu wamemgomea kuonyesha kujua haki zao, lakini cha ajabu aliwapigia simu polisi wakaja kutawanya watu na kufunga kituo.
Polisi walionekana wakija na box jingine la kura.

Hii imetokea mtaa wa Kawe mzimuni.
 
Jamani wana jf usiku huu kama saa 23:18 imesikika milio ya risasi maeneo ya kawe lakin bado sijajua tatizo ni nini lakin nahisi ni maswala ya uchaguz kwa sababu kuna muda nilisikia watu wakishangilia upande flani iv wa sokoni huko na ss milio imetokea maeneo ya ukwamani apo..............,!!!!tutajulishana asubuhi kilichojiri

Muulize pot pot 0713942322 kwani ndiye Rais wenu huko kawe.
 
Tambua kuwa kuna baadhi ya Polisi wana Usongo na Vagi ili watumie kama Fursa ya kuwakamata watu kisha ile Lugha iliyozoeleka isemayo Kuingia kituo cha Polisi ni bure lakini kutoka ni Pesa, Wananchi kuweni makani hizo kura zisiwe sababu ya kuwapeleka Jela.
 
Jamani wana jf usiku huu kama saa 23:18 imesikika milio ya risasi maeneo ya kawe lakin bado sijajua tatizo ni nini lakin nahisi ni maswala ya uchaguz kwa sababu kuna muda nilisikia watu wakishangilia upande flani iv wa sokoni huko na ss milio imetokea maeneo ya ukwamani apo..............,!!!!tutajulishana asubuhi kilichojiri

hao watakuwa vijana wa LUMUMBA,kwasababu hawatak mabadiliko
 
Hiiii ni hatar sana mmmh tujipange mwakani wajomba
 
Back
Top Bottom