Kawe kimenuka: Milio ya risasi yasikika!

mc luggy

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
454
Reaction score
102
Jamani wana jf usiku huu kama saa 23:18 imesikika milio ya risasi maeneo ya kawe lakin bado sijajua tatizo ni nini lakin nahisi ni maswala ya uchaguz kwa sababu kuna muda nilisikia watu wakishangilia upande flani iv wa sokoni huko na ss milio imetokea maeneo ya ukwamani apo..............,!!!!tutajulishana asubuhi kilichojiri
 
Dar Vipi ... Mbona .. heka heka kibao sehemu kadhaa .. milio ya Zana Za Kijeshi.
 
Jamani wana jf usiku huu kama saa 23:18 imesikika milio ya risasi maeneo ya kawe lakin bado sijajua tatizo ni nini lakin nahisi ni maswala ya uchaguz kwa sababu kuna muda nilisikia watu wakishangilia upande flani iv wa sokoni huko na ss milio imetokea maeneo ya ukwamani apo..............,!!!!tutajulishana asubuhi kilichojiri

Kawe ccm tumechukua
 
ccm wamegoma kukubali matokeo kuwa wameshindwa.....
 
Wanatuzingua na furaha zetu......mabadiliko yamewadia , ccm ijiandae kuwa chama pinzani
 
Jamani wana jf usiku huu kama saa 23:18 imesikika milio ya risasi maeneo ya kawe lakin bado sijajua tatizo ni nini lakin nahisi ni maswala ya uchaguz kwa sababu kuna muda nilisikia watu wakishangilia upande flani iv wa sokoni huko na ss milio imetokea maeneo ya ukwamani apo..............,!!!!tutajulishana asubuhi kilichojiri
hapo itakua ccm chali.
 
Back
Top Bottom