Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

#Kurazidhaniwazo ni batili/feki: Kwanini hizo karatasi zinazodaiwa ni feki zichomwe harakaharaka hivyo wakati ni ushahidi kumtia mtu hatia? Kwanini hao watu wamejichukulia sheria mkononi kuharibu ushahidi wakati kufanya hivyo ni kosa ndani ya kosa?

Mtuhumiwa yuko wapi na inawezekanaje awakimbie na kuwaacha wananchi wengi kiasi hicho? Kwa kitendo cha kuingilia kithibiti (Tangible evidence) tayari mmeharibu taarifa hiyo kuaminika pasipo kuwa na shaka.

Next time please be patient taking such risk decision which implication is averse to assure your integrity. It seems like this is a cover story to trigger desperate emotions among the voters which is unacceptable during the poling process.
Yaani umeandika maneno mengiiii kama vile haupo TANZANIIA.
 
Wananchi wa Kawe wakichoma moto kura za maruhani zilizokuwa tayari zimeshapigwa kwa wagombea wa CCM. Mungu wabariki wananchi hawa

View attachment 1614622
View attachment 1614758
Nimeangalia mpaka mwisho wa clip hii, na nimezoom clip yenyewe sijaona hata kura moja iliyokuwa imewekwa alama ya kupigiwa kura!!!

Hivi kwa nini mnapenda uzushi na uongo. Nilitegemea ivutwe hata moja ionyeshwe kwa karibu!! Wapi, hawajafanya hivyo. Na hapa nadhani wamefanya hivyo kukwepa mkono wa sheria ili clip hiyo itakapo hitajika kwa ajili ya ushahidi.

Kubali kushindwa kwa uhalali acheni visingizio.
 
Huo ni uongo tu hizo ni za kwao ho wanaochoma, kwa nini wasiziweke kama ushahidi na waliyemkamata nazo wampeleke police?
Hizo wametengeneza wenyewe kisha wanachoma wenyewe.
Wewe ni mgeni hapa Jelusalem hata hujui yanayoendelea?
 
Nimeangalia mpaka mwisho wa clip hii, na nimezoom clip yenyewe sijaona hata kura moja iliyokuwa imewekwa alama ya kupigiwa kura!!!

Hivi kwa nini mnapenda uzushi na uongo. Nilitegemea ivutwe hata moja ionyeshwe kwa karibu!! Wapi, hawajafanya hivyo. Na hapa nadhani wamefanya hivyo kukwepa mkono wa sheria ili clip hiyo itakapo hitajika kwa ajili ya ushahidi.

Kubali kushindwa kwa uhalali acheni visingizio.
💚💛💚💛💚🇹🇿🖐👍
 
2020 - 2025 nchi haitawaliki, vyombo vya dola wanatakiwa wawe makini au lasivyo nchi inaharibika ndani ya muda mfupi sana.

Hatua inayofuata ni wananchi kuingia mtaani, kama mambo haya yataendelea.

Wananchi wa Kawe watazaa na huyo mcheza filamu za X wanaolazimishwa kupewa na CCM.
Nani aingie ingia mwenyewe kama unajiamini hakuna wa kufanya huo upumbavu wako
 
Mmeanza maigizo yenu, kama yale ya kuchoma ofisi ya chama mkasingizia wamechoma vijsns ws ccm kumbe ni vijana wenu
 

Hapa sasa nielewe nini, Mkuu. Ni makelele ya kimwemko tu! Wekeni habari zinazoeleweka. Hivi clip hii inaweza kutumika kuelezea chochote kweli !? Mimi na muona Halima na Askari na kwa mbali wasimamizi wa uchaguzi nao nimewatambua kwa tabu kwa nguo nyeupe walizovaaa!
 
Imagine, Kama kituo kimoja iko hivo Vipi maeneo mengine nchi nzima. Mfumo wa uchaguzi umepitwa na wakati. Yaani mazingira ya kupiga kura bado Yanatoa mwanya Sana wizi kufanyika
Hizo karatasi hazizidi 30 uibe kurqla 30 una akili timamu? ,Hii kitu iko staged
 
Hawakutakiwa kuzichoma moto. Sasa unachoma ushahidi.
Kesi ikienda kwa yule hakimu wa Kisutu, Muunga Juhudi hata ukipeleka ushahidi huo unajisumbua tu! Nadhani kujichukulia sheria mkononi kwa kuzichoma moto yafaa sana katika nchi Judicially kwa kiasi kikubwa ime-compromise.
 
Back
Top Bottom