Huyu mtoto ni genius
Ngoja ni mpm naz.. atanijibu kiundani zaidi!
duh! kumbe ndo hivyo pole sana mkuu naz.. amemwaga madini yote! he he he mengine yakutanabaisha,kuchekesha na kuhuzunisha..
nakuangalia tuduh! kumbe ndo hivyo pole sana mkuu naz.. amemwaga madini yote! he he he mengine yakutanabaisha,kuchekesha na kuhuzunisha..
habari mbaya ni kuwa mwezi hauishi hajatia mabegi yake kwangu! so na me nimekubali maana hakuna mkate mgumu mbele ya chai
(samahani nimepita mjini nikakuta hili bango "leso zimeisha mjini")