Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,570
- 19,443
- The dataz ni huko kwenye mazishi imesomwa risala ya Museveni na makamu wake wa Rais, wakuu mlionayo hebu tumwagieni maana nasikia ilikuwa ni balaa Museveni ameamua kuwashukia wabezaji wote wa lile kongamano la majuzi kule Foundation,
- The dataz ni kwamba ilibidi Makamba akimbie kwa aibu, maana maneno mengi yalikuwa yanamlenga yeye na yale maneno yake kwamba kina Butiku ni wehu, Museveni nasikia amedai yeye anamtambua Butiku kama Meja, aliyeshirikiana naye kumng'oa Idd Amin, duh! nasikia ilikuwa aibu kubwa huko mazishini, haya wakuu tupeni dataz hapa yaliyojiri huko!
- Wenye hii hotuba jamani tupeni yote hapa mkiweza, kabla hawajaipunguza nguvu hao mafia kina Makamba, yaani mpaka viongozi wa nje nao wanawashitukia haya magarasha kina Ndulu design! Duh!
Respect.
FMEs!
Ingawaje tulimlea na kumpa elimu, huyu bwana Museveni asingilie kabisa mambo yetu ya ndani hata kama yuko sahihi. Yeye mwenyewe ana mambo mengi ya kushughulikia huko Kampala ambayo hajayamaliza, kwa hiyo hawezi kuunganisha yetu haya ya Dar-es-Salaam/Dodoma na yake ya Kampala akayaweza.