Elections 2010 Kawambwa apiga magoti na kuomba kura kwa picha ya JK

Wadau hebu angalieni huyu baba na degree zake tatu huu ujinga anaoufanya hivi

sasa kama huyu anafanya hivi na sie walalahoi tutaishia wapi, nayaamini maneno ya Profesa wangu akiwa ananifundisha aliseama kuwa huyu jamaaa alishindwa kuandika Pepa yoyote tangu apewe hiyo PhD yake....kwa hali hii nashawishika kuwa yule Prof alikuwa sahihi securedownload[1].jpg
 
hahahaaa!kila mtu na style yake ya kuomba kura................wewe vipi! wivu tu wewe na huyo profesa wako!
 
Swala sio Profesa wangu, swala ni uhalisia, Huyu ni Dokta Kawambwa akimnadi JK.
 
unajua sio kila mwenye phd ana upeo wa kufanya mambo, wengine ni jina tu ila ukimweka darasani hajielewi wala hajitambui ndo maana anafanya such nonsenses
 
Kipo anachokitafuta zaidi!!!! unyenyekevu huo kwa kuomba utumishi? haingii akilini.
 
Wadau hebu angalieni huyu baba na degree zake tatu huu ujinga anaoufanya hivi

sasa kama huyu anafanya hivi na sie walalahoi tutaishia wapi, nayaamini maneno ya Profesa wangu akiwa ananifundisha aliseama kuwa huyu jamaaa alishindwa kuandika Pepa yoyote tangu apewe hiyo PhD yake....kwa hali hii nashawishika kuwa yule Prof alikuwa sahihiView attachment 14393

Watu wa tabia kama hii ni hatari zaidi ya ugomjwa wa ukoma.Rais mwenye busara hawezi kuwa karibu na watu wa sampuli hii!!
 
Watu wa tabia kama hii ni hatari zaidi ya ugomjwa wa ukoma.Rais mwenye busara hawezi kuwa karibu na watu wa sampuli hii!!

Haya tumpime huyu kama akipita akifanya hivyo basi tumeshapata jibu letu kuwa....
 
hahahaaa!kila mtu na style yake ya kuomba kura................wewe vipi! wivu tu wewe na huyo profesa wako!
Lakini kwa staili hiyo kwa mtu msomi kama yeye haiingii akilini badala ya kunadi sera anaanza kuigiza!
 
Shukuru Jumanne Kawambwa

Elimu

Surrey University - UK PhD (Eng.) 1990 1993 PHD
Reading University - UK MSc. (Eng.) 1983 1984 MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam BSc. (Eng.) 1978 1982 GRADUATE

Jamaa kabla hajaingia kwenye siasa alikuwa Senior Lecturer pale College of Engineering - UDSM! tokea 2000

09_10_xa137s.jpg

Leo anapigia magoti picha kweli Engineer mzima! Elimu na exposure havijamsaidia kabisa kabisa! To me this is a mental case

Rev Masanilo,
Ugonjwa wa Njaa si ule unaotibiwa kwa Chakula tu, kuna Njaa za aina nyingi na wakati huu wa Uchaguzi utaona Wagonjwa wakizuka kwa njia tofauti. Huyo mh. ni mmoja wa wengi.
 
Rev Masanilo,
Ugonjwa wa Njaa si ule unaotibiwa kwa Chakula tu, kuna Njaa za aina nyingi na wakati huu wa Uchaguzi utaona Wagonjwa wakizuka kwa njia tofauti. Huyo mh. ni mmoja wa wengi.

Njaa zanamna hii naomba Mungu aniepushe nazo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom