Elections 2010 Kawambwa apiga magoti na kuomba kura kwa picha ya JK

I think when we laugh them today, we're the one to be laughed keshoye.

Wakipiga magoti wanapata kura za akina mama maana akina mama wanapenda sana mtu mnyenyekevu na anayeshuka mbele yao. Hawajali kitakachotokea mbeleni.

Dawa ni kuendelea kuwaelimisha wananchi wajue zipi mbivu na zipi mbovu
 
Hivi mkewe na watoto wake wakimwona baba ambaye ana PhD ya ukweli amepiga magoti kwenye phD ya kupewa bila kusoma watajisikiaje????
 
Maprofessor wengi huingia kwenye siasa waki dhani wana weza kumake an impact na kumake a real difference. Wanaona waki piga makelele kwenye lecture halls hakuna kinacho badilika so wana amua wenyewe kuingia kwenye siasa. Tatizo la siasa bwana siyo profession, maprofesa mnakua na hadhi sawa hata na mtu wa darasa la saba ilimradi wote ni wabunge. Na ubaya zaidi wakisha ingia kwenye circle ya siasa kutoka ngumu sana.

Btw kwenye hiyo picha ina wezekana kabisa profesa hajampigia Kikwete au picha yake magoti par se maana kukipigia kitu magoti usually una kiface uso kwa uso. Hapo ina wezekana kapiga magoti kwa sababu zingine maybe kuchoka kusimama. Pictures can be deceiving. Ambae ni wazi ana piga magoti na kusujudu ni huyo dada/mama kwenye picha ya pili. Maana ana mface uso kwa uso Salma......Just saying.
 
09_10_xa137s.jpg


Huyu Dr Kawambwa anaPhD ni msomi mzuri kabisa, anaweza kuishi bila kunyenyekea na kujidhalilisha kiasi hiki! Amepigia magoti picha duu kazi hizi sintoweza zifanya!


33271jc.jpg

Huyu dada naye nashindwa kumwelewa kama ni mzima kweli

Rev Masanilo--- Big up, I concur with you 100%!!!
 
Ama kweli adui yako muombee njaa. Shukuru kwa njaa yake mwenyewe amekunja magoti kwenye mavumbi. Ingelikuwa ni katika nyumba ya ibaada asingekunja goti mpaka ametandikiwa zulia.

Sijui pale anasema takbiriii au kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu, Jk kimsingi alikuwa na nia nzuri ya kuwatumikieni ila kazidiwa ujanja na mafisadi waliomleta madarakani kijinai. Hivyo mara moja tena mchagueni kwani amuazimu kuwatosa mazima maana hatarajii awamu nyingine ya tatu, aaamina wadanganyika wenzangu.
 
Dah politics za namna hii, i wish i was not born a Tanzanian :mad2::mad2::mad2::mad2::mad2:

"I wish I was not born a Tanzania".. :mad2: What did you just say? You know it is very offensive you saying that in front of Tanzanians. You wish what? What the what? .. ARRRRRRGH!
 
Hii jee? obama_bows_japan.jpg

na hii bowing%2520to%2520Saudi%2520King.jpg

Sio kwamba natetea, just saying msichague zakueka na kusema. Ila wakupigiwa magoti ni Mwenyezi Mungu peke yake.
 
If you hate it you should really stay out of it because you know what they say :

"Serve to lead"

For you:

"It is easier to stay out than to get out"( Mark Twain)
 
Usomi wake haujamsaidia kwani hajaelimika; ndio maana ametumiwa na mafisadi wa kihindi kuua TRC[ kampuni yetu ya reli] na pia kuinyonga ATCL ili kampuni ya wakina Pesambili ishamili na sasa wakina Mengi wanaiita Kampuni ya ndege ya Taifa[ National Airline].

Katika mawaziri waliomuangusha Jakaya huyu ni mmoja wapo sijui Jakaya akiulizwa juu ya ATCL atajibu nini ; hizo 10% walizomdai zimemkibiza mchina hataki tena kuwekeza na ameingia mitini na shirika linazidi kudolola!!
 
Kitu kilichoniijia kichwani haraka haraka ni kuwa hivi akimkosea na mkewe huwa anampigia magoti kama alivyoipigia magoti picha ya JK, Politics za bongo baadae akija kuambiwa kuwa alipigia magoti picha ya JK atakataa ngoja uchaguzi uishe
 
Broda! Kuliko kudhalilisha professional kivile ni lazima sana ufanye kazi Tanzania? Unajua ukiisha kuwa na career nzuri kama ya Kawambwa wewe ni Citizen of the world! Unarusha tu CV unapata kazi popote duniani bila kupigia magoti picha! Nimesikitika sana na msomi huyu

Tatizo ni pale ambapo hizo PHD zinapobaki kwenye manila paper tu. Upstairs za hawa watu huwa zinakuwa zimejaa "ccm oyee" na "mtukufu rais". usishangae ukimrudisha kwenye profession akawa yule ziro wa kwenye gazeti la RA la mtanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom