KAUTIPE na utumbo wa kuku………………………..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KAUTIPE na utumbo wa kuku………………………..!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtambuzi, Apr 23, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  [FONT=&quot] Heading isiwachanganye……..Niko hapa Buguruni kwa Mnyamani napata utumbo wa kuku ulioviringishwa kwenye firigisi na chachandu ya pilipili na mbilimbi. Halafu bei powa tu shing mia tano.[/FONT]
  [FONT=&quot]Uswazi tunafaidi kweli………………………………. [/FONT]
   
 2. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Umenikumbusha hadithi ya enzi hizo "Kautipe utumbo wa kuku" kwenye moja wapo ya vitabu maarufu vya "Ujinga wa mwafrika"!
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Unaliwa bana, siku ya kwanza kuona nilishangaa hadi kidogo wanichape.

  Na miguu ya kuku ya kukaanga na vichwa.
   
 4. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Aisee Kongosho kumbe na wewe unaijua hiyo menyu................ yaani hapa pilipili imekolea kwenye chanchandu mpaka nimepata vijimafua....!
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Naijua sana menu hiyo

  pilipili ya rojo rojo, tena walikuwa wanasukumia na vikarangizo vingine kama mihogo ya kukaanga au viazi.

   
 6. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Yeah..........hapa kuna mihogo ya kukaanga pia wanaita chipsi dume
   
 7. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ...ndo maana mnakua na vitambi vya minyoo... havina ushirikiano na mwili....
  Pole mkuu..
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mtambuzi hayo machachandu kwa ujumla wake ukiyataja kwa mpiga tarumbeta au mpuliza filimbi ndiyo hatopiga tena kwakua domo lazima limjae mate!
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mtambuzi ktk vitu nivikumbukavyo Buguruni ni huo utumbo wa kuku...
  mtamu sana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Erickb52......... hiyo menyu nakumbuka wakati ule nikikaa Mwananyamala Kwa Mama Zakaria jirani kabisa na Kwa Ali Manjunju pale makaburini karibu na ule mbuyu usiozeeka kulikuwa na Mpemba mmoja alikuwa ni mtengeneza chachandu na urojo usipime mzee ..................Mihogo na Vihepe ndiyo ilikuwa mwake.................
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaaaa Dar kuna vyakula vya ajabu ila vitamu sanaaaaaaa
  Dah huwa nakumbuka sana wakati nakaa Tazara na Kigamboni mitaa yangu ilikuwa pale Feri na Buguruni....
  Mh Dar pako juu na napamiss sana aisee
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,486
  Likes Received: 19,875
  Trophy Points: 280
  utumbo wa kuku aisee..
   
 13. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  halfu jioni usisahau ku-test pweza na chachandu...
   
 14. M

  MandawaNaManenge Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ha ha ha Mtambuzi kiboko. Enjoy mwaya while it lasts.
  Juzi nimesikia kuna vitu vinaitwa viwowowo ( sijui hata nitafsirije) lakini vinaliwa. Viwowowo vya kuku. Huko Mbagala /Kijichi. Sh.200.
  Kama niliwaelewa watoa mada, ni vile vinavyobeba , ashakum, kinyeo cha kuku, ambacho kwa kawaida, huwa tunavinyofoa na kutupa. Sasa nasikia ni vitamu balaa vikikaangwa na utumbo wa kuku.
  Ama kweli, najisi yako ni halali yangu.
   
Loading...