Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
nimeanza mahusiano na msichana mmoja ,vitu gani vya msingi ninatakiwa niwemakini navyo ili nisilizwe?
huu ndio uhusiano wako wa kwanza?
Muintertain ila usijiachie kama vila umefika mwisho. Nenda naye mdogo mdogo
Hakikisha wewe ndo unamshika mapembe asije akakuchoma.