Kauli za wanawake zinazoboa

Hata mimi nilikua nafaham kama wewe duuu thnks jf
Kwa kweli inabidi tu tushukuru Jf ...tatizo lipo sasa kwenye kubadilisha mentality za watu kutoka kwenye maana ya demu isiyo leta picha nzuri kwenda kwenye maana ya demu wa kiingereza
Na tulisha aminishwa vibaya mwanzoni
 
Babie nimeku miss... ujue anashida huyo.. jiandae...
 
Kwa kweli inabidi tu tushukuru Jf ...tatizo lipo sasa kwenye kubadilisha mentality za watu kutoka kwenye maana ya demu isiyo leta picha nzuri kwenda kwenye maana ya demu wa kiingereza
Na tulisha aminishwa vibaya mwanzoni
Kwel kabisa mkuu na to be honest sikua napenda mtu aniite hilo jina yaani naweza mtusi kabisa na ikitokea mtu kaaniita njian sigeuki kabisaa
 
Kwel kabisa mkuu na to be honest sikua napenda mtu aniite hilo jina yaani naweza mtusi kabisa na ikitokea mtu kaaniita njian sigeuki kabisaa

Honest has a power that very few people can handle mimi pamoja na ubaya wake nlikua nalitumia sana hilo neno ila leo nimejua sikua nadhalilisha rather ni Praise tu kwa kina dada, sasa itabidi uchekeleee sasa hivi ukiitwa demu
 
Hizo kauli zinatokana na wanaume kuwaumiza wanawake soo wanakuwa hawana uwaminifu na wanaume imani inatoweka
 
Honest has a power that very few people can handle mimi pamoja na ubaya wake nlikua nalitumia sana hilo neno ila leo nimejua sikua nadhalilisha rather ni Praise tu kwa kina dada, sasa itabidi uchekeleee sasa hivi ukiitwa demu
Hhhhhha
 
Hizo kauli hutumiwa na wanawake wa kiswazi sana, yani wale ambao hata shule walikimbia umande,wao hawajishughulishi na chochote in short wapo wapo tu, sasa wewe mpaka uanze mahusiano na watu kama hao wastarabu unakua huwaoni??
Una akili sana wewe, coz umeongea pont nitakutafuta
 
Hhhjha weird kabisaaaaa teh teh

Hapa ndio napata maana ya kwamba uongo ukisemwa sana unakua ukweli ,ila wacha mimi nibaki tu na tafsiri ya kwanza nisije gombana na watu bure ,muda wa kuanza sijui kuwaambia demu ni dame yenye maana ya ku praise nautoa wapi ,
 
Mi ndiyo maana sipendi mademu wa kibongo, nawagegeda tu na kuwatia hasara kama wafanyavyo mademu wa kichagga a.k.a. majinamizi ya talaka. Nawatumia pale when I need kuwa do kisha nasepa zangu, Yes mnaweza kuniita demu la kichagga wa kiume ila kwa kweli mademu wa kibongo ni ishu.
 
Wewe umekutana na vimeo.... Wanawake sio wote wako hivyo... Asilimia kubwa sana wana upendo wa dhati wanajali na wana heshima kuliko hata wanaume wengi

Ni kweli, na ndiyo maana 50% ya watoto mnaozaa ndani ya ndoa ni wa wanaume wengine kwa ajili ya upole na kujali kugawa huku mkijiheshimu.
 
Sio wote wako hivyoo wengine wako na heshima zao pia hata popote ukienda utakumbana nao
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…