habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
ShangingiYataje majinahayo ili tuyajue sote , maana isije kuwa mengine ndiyo huwa
mnajiita au mnapendwa muitwe....
Hizo kauli hutumiwa na wanawake wa kiswazi sana, yani wale ambao hata shule walikimbia umande,wao hawajishughulishi na chochote in short wapo wapo tu, sasa wewe mpaka uanze mahusiano na watu kama hao wastarabu unakua huwaoni??
duuu ...kumbe hili nalo ni jina lenu...mimi mwanzo nilijua ni jina la kiungo chenu muhimu sanaShangingi
Malaya
Kicheche
Mademu
Maharage ya mbeya
Madada poa,
we ****,
Yaaani mengi mengi
ushawah kuitwa "we ****"Shangingi
Malaya
Kicheche
Mademu
Maharage ya mbeya
Madada poa,
we ****,
Yaaani mengi mengi
mie nadhani jina la shangingi mngelifurahia kwani ni la kifahari mpaka wabunge wana llilia .Shangingi
Malaya
Kicheche
Mademu
Maharage ya mbeya
Madada poa,
we ****,
Yaaani mengi mengi
Yeah nishawahiushawah kuitwa "we ****"
ulijisikiaje for the first timeYeah nishawahi
nitakuorodheshea baadae nikituliaduuu ...kumbe hili nalo ni jina lenu...mimi mwanzo nilijua ni jina la kiungo chenu muhimu sana
kumbe ni jina la binadamu. duuuu poleni sana.
Noamba unipe tena mwendelezo wa orodha ya majina kuna kitu nataka kufanya juu ya haya
majina mabaya msiyo yapenda.
poa poa nitafurahi sana kupata hiyo orodhanitakuorodheshea baadae nikitulia
na mimi utaniorodheshea pm baadae ukitulianitakuorodheshea baadae nikitulia
Ulilipokeaje hilo jina baada ya kuitwa, na je aliyekuita na wewe kimoyo moyo ulimuita jina gani...?Yeah nishawahi
Niliumia tu, sasa nitafanyaje na nipo dunianiulijisikiaje for the first time
wewe ulimuita jina gani japo kimoyo moyo tu,...?Niliumia tu, sasa nitafanyaje na nipo duniani
sio zuri hata kidogo, kajaribu kumtania mwenza wako kwamba Leo nataka utoke kishangingi umsikie atakujibu nnmie nadhani jina la shangingi mngelifurahia kwani ni la kifahari mpaka wabunge wana llilia .
nilitamani nimmeze mzima mzima, lkn nashukuru Mungu yupo karibu yangu maana jela ingenihusu,Ulilipokeaje hilo jina baada ya kuitwa, na je aliyekuita na wewe kimoyo moyo ulimuita jina gani...?
wewe ulimuita jina gani japo kimoyo moyo tu,...?
bado hujanitisha, wewe baadae nipm tu ukitulia, sawa mdadaNilicheka tu kwakweli lkn niliondoka eneo LA tukio, maana ningeendelea kuwapo ningewatembezea mkong'oto km watoto
Hata mimi nilikua nafaham kama wewe duuu thnks jfHili nlikua silijui mimi nashukuru maana mtaani kwetu wanasema maana ya demu ni tambara bovu ,kumbe maana yake halisi kutoka huko kwenye kingereza ni tofauti kabisa na nilivyo aminishwa
duu...we ni noma sana.Nilicheka tu kwakweli lkn niliondoka eneo LA tukio, maana ningeendelea kuwapo ningewatembezea mkong'oto km watoto
Mtani heri ya mwaka mpyaWewe umekutana na vimeo.... Wanawake sio wote wako hivyo... Asilimia kubwa sana wana upendo wa dhati wanajali na wana heshima kuliko hata wanaume wengi