Kauli za wanaume wanapozikataa condoms wakati wanakutana na wapenzi wao

naona hiyo dhana inaenda kwa kubadilika, hapa ofcn nilipo kuna wadada ambao hawajaolewa naona wanatembea na kondom kwenye handbag zao...

...dah, kumbe hizo handbags za kina dada zinaficha mambo eeh, ha ha ha :D

mimi nilidhania mnabebea 'always' tu na make up kit...! anyway, suruale zetu walume zina mifuko mitatu, wa nyuma yawekwa wallet, ...mfuko wa mbele kulia ni kuwekea tujisenti twa dala dala au kununulia vijarida mitaani, na mfuko wa shoto unawekwa leso ya kujifutia kajasho kembamba na vumbi la mujini, na mara nyingi 'posse' la mkono wa shoto kubakia humo kwa mumo.. sasa Condom utaiweka wapi hapo, kwenye mfuko wa shati?

Noma!
 
Mwanaume yoyote ambaye ana jeuri ya kushuka kifuani wakati wa game kama condom imepasuka na akavaa nyingine kabla ya kupiga bao huyo ni shujaa, hapa ndio wengi tunapofeli, yani yale mabadiliko ya flavour ya ghafla yanachanganya sana na most of the time mwenzako atagundua kuwa ngoma imevuja baada ya wewe kupiga bao.
Katika chovachova zangu niliwahi kukutana na kicheche mmoja na wakati wa game akawa anadai condom inamumiza so niivue! Nikajua huu msiba babake, nikagoma. Akasema "Mi niko clean, najiamini nimepima juzi tu", Nikamuambia mi sijapima maisha yangu yote kwa hiyo sijijui, jibu lake ndo liliniacha hoi "Jinsi ninavyokupenda, sitaona hasara kufa kwa ajili yako, tufe wote tu kama unao, sitaweza kuishi bila wewe!"
 
Mkuu, hii kitu umenikumbusha mkasa wangu, "Yani ata mimi huniamini unataka kutumia mpira?" na machozi alitoa.
 
niliwahi kukutana na kicheche mmoja na wakati wa game akawa anadai condom inamumiza so niivue! Nikajua huu msiba babake, nikagoma. Akasema "Mi niko clean, najiamini nimepima juzi tu", Nikamuambia mi sijapima maisha yangu yote kwa hiyo sijijui, jibu lake ndo liliniacha hoi "Jinsi ninavyokupenda, sitaona hasara kufa kwa ajili yako, tufe wote tu kama unao, sitaweza kuishi bila wewe!"

Mkuu, hii kitu umenikumbusha mkasa wangu, "Yani ata mimi huniamini unataka kutumia mpira?" na machozi alitoa.

...:D dah, kumbe tupo wengi... unapewa 'free pass' baada ya kutumia kinga siku ya kwanza...
 
Kweli kuna hili swala la kuwalaumu tu wanaume hawapendi mpira..kumbe akina dada wengi pia nao hawapendi kutumia??

Kwa nini mara nyinyi akina baba ndo huonekana mchawi?
 
Back
Top Bottom