Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
- Thread starter
- #141
Una mikataba na hawa wawekezaji unajua gharama za kumfidia na Sera za kushtukiza ndiyo tatizo.Waziri hajatofautina na Katibu Mkuu wa Wizara Bali amekuwa ndiye mtoa taarifa kwa Rais k
Tuna haraka gani muda ukifika nchi itakuwa na huo uwezo wa kujenga lakini si kuendelea kupoteza kila kitu
Where is policy continuity