Kauli za TPDC zaonyesha Katibu Mkuu Nishati katumbuliwa kwa kutetea sheria ya manunuzi

Ndege zilinunuliwa, zilinunuliwa kwa budget ipi? Ununuzi wa ndege ulifuata taratibu za manunuzi au ni manunuzi kama ya sokoni tu? Hii sayari ya tz hii ni shida sana,
 
Husomi magazeti umelala fofo sasa unansingizia porojo kwa uzembe wake.

Haya usiye na porojo tueleze kwanini katumbuliwa?
Acha porojo kama huji kitu acha kuonesha unajua........Sheria ya mafuta ndo inaongoza utoaji wa vitalu hiyo ya manunuzi unayoisema imeingiaje hapo.

Hao waandishi wa hayo magazeti watakua na akili kama zako
 
Uko nchi ipi au ndo umezinduka leo. Subiri kusikia aliyeibuka kidedea.
Acha uswahili, soma reports/nyaraka husika. Jibidishe kuelewa:

The 2014 fourth round for seven deep-sea offshore blocks and one block in Lake Tanganyika exploration licenses, which attracted five bids of the offered eight oil and gas blocks would be evaluated and negotiated consistent with MPSA 2013 set criteria. No successful bidder was announced yet.

upload_2017-3-27_12-37-33.png


upload_2017-3-27_12-32-0.png
 

Attachments

  • upload_2017-3-27_12-33-55.png
    upload_2017-3-27_12-33-55.png
    7.7 KB · Views: 16
TPDC walilalama zoezi la zabuni za vitalu vya gesi asilia liliingiliwa na Waziri husika Muhongo kinyume na sheria ya manunuzi.

Huyu katibu mkuu aliyetumbuliwa alikuwa msimamo mmoja na TPDC kuwa sheria ya manunuzi iheshimiwe na Muhongo aache kuingilia.

Muhongo ana kampuni ya kichina anayotaka ipewe ugali huo na sasa wapinzani wake wameanza kung'olewa kuwapisha wateule wapya watakaohakikisha wachina wanalamba asali!

Ukiukwaji wa sheria ya manunuzi ni matumizi mabaya ya madaraka na yanaashiria harufu kali ya ufisadi.

Uongozi mzima wa TPDC sitashangaa ukitumbuliwa ili kupisha madudu haya ya hawa walaji.

Huyu Muhongo pamoja na kugubikwa na kashfa kibao leo anaonekana ni jembe sasa nimeanza kujua sababu kumbe ni kulinda Milo ya wakubwa serikalini.

Halafu hawa hawa wanatumbua wasiyo na hatia kumbe wao ndiyo wanapaswa kutumbuliwa!
Hapa tunazungumzia makontainer yaliyoshikwa bandarini. Usitake kututoa kwenye mstari. Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini,ametumbuliwa kwa sababu alitoa majibu au maelezo ambayo hayaingii akilini kibiashara. Ni mfanya biashara gani ataghalimia kusafirisha mchanga tani na tani wenye dhahabu 0.02%(asilimia) tu!!!. Mimi nakubaliana na maelezo ya Mkurugenzi wa Bandari. Yafunguliwe kumaliza ubishi na ndio mtajua tulivyokuwa tunaibiwa kwa muda mrefu au la.
 
Na wakati huo huo yule Bashite anaendelea kupeta kama RC Dar kipenzi cha malaika mkuu!
Endelea na wimbo huo kama kasuku. Na hata Waziri wa Madini na Nishati hatumbuliwi kwa jinsi mnavyotaka.

Rais hatawali kwa vimaneno vya mitandaoni yenye kutumia 'ID fake'.

BAK ni wakati wewe ukue kimawazo
 
Waziri katofautiana na katibu mkuu haya ndiyo matokeo yake.

Kuhusu uwajibikaji wizarani utamaduni Waziri huanza na wengine kufuata.

Haiwezekani Waziri asimamie wizara mambo yakienda vizuri azoe sifa yakiharibika asepe eti yeye siyo Mtendaji. Kwani watendaji huwajibika kwa nani?
Waziri hajatofautina na Katibu Mkuu wa Wizara Bali amekuwa ndiye mtoa taarifa kwa Rais k
Lini na kwa muda upi? Na kwa gharama zipi?
Tuna haraka gani muda ukifika nchi itakuwa na huo uwezo wa kujenga lakini si kuendelea kupoteza kila kitu
 
Back
Top Bottom