Kauli za TPDC zaonyesha Katibu Mkuu Nishati katumbuliwa kwa kutetea sheria ya manunuzi

Waziri hajatofautina na Katibu Mkuu wa Wizara Bali amekuwa ndiye mtoa taarifa kwa Rais k

Tuna haraka gani muda ukifika nchi itakuwa na huo uwezo wa kujenga lakini si kuendelea kupoteza kila kitu
Una mikataba na hawa wawekezaji unajua gharama za kumfidia na Sera za kushtukiza ndiyo tatizo.

Where is policy continuity
 
Kabla hujamhukumu angalia uwiano wa hizi ajira za Ikulu utaona ukabila ni moja ya sifa nyeti za hivi vyeo vinavyogawiwa kama peremende
Ulitaka awekwe nani,usijifyatushe akili mtu kama anazo sifa acha afanye kazi,kwanza namshangaa huyu kilaza ,rais julias nyerere,waziri Mkuu warioba ,Mkuu wa majeshi mwita sarakikya,ungekuwepo si ungekufa kabisa sisi tulikaa kimya tukijua wanaitumikia Tanzania .
 
Dhambi juu ya dhambi inakuwa haki? Akiua nawe ukiua utetezi ni hata yeye aliua utapona kweli?

Acha ubabaishaji tafuta majibu yenye mashiko,!
 
Dhambi juu ya dhambi inakuwa haki? Akiua nawe ukiua utetezi ni hata yeye aliua utapona kweli?

Acha ubabaishaji tafuta majibu yenye mashiko,!
Hata kesi mahakamani huamuliwa kwa hukumu zilizokwisha kutolewa ,sasa sijui unataka nikujibu vipi?kama hutaki vielelezo basi andamana ili kabila lako wapewe kazi tofauti na hivyo jibu langu linamashiko,au hamia Kongo kwani kabila lako hawatapewa kazi.
 
barbarosa unaona hawakujibu sababu wote tulishakupotezeaa. badili gia
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom