Na mimi katika pekua yangu nikakuta wakazi wa Dar es Salaam wakihamasishwa waende makao makuu ya Polisi kuwatoa wahalifu waliokuwa wamekamatwa kwa kugomea kuhesabiwa katika zoezi la sensa.Katika pekua yangu nikakutana na Slaa akiwahutubia na kuwataka wananchi waende Polisi kuwatoa viongozi wa CDM waliokuwa wamekamatwa na Polisi wa Arusha kwa kufanya maandamano haramu.
Ni kutokana na hamasa hiyo, watu wakafanya maandamano haramu kuelekea huko, hakuna mtu aliyeuawa ila wahalifu wote waliachiwa.Ni kutokana na kauli hiyo, watu wakaelekea kituoni na matokeo yake, watu 2 wakafa.
Lau kama isingekuwa hamasa hiyo, nchi isingeshuhudia wavunjaji wa sheria wakitamba mitaani.Lau kama isingekuwa kauli hiyo, nchi isingeshuhudia mauaji hayo.
Umepitia vitabu damn it! hata kusoma nina wasi wasi kama unajua!! Umetumwa na KAMUHANDA au IGHONDU kama siyo wewe IGHONDU. Kama TISS wako hivi hakuna NCHI hapa!! Una kichaa cha kuku nina uhakika. Polisi anaua unasema wameua kwa ajili mtu asiyekuwa kwenye system yoyote ya serikali! Aliwashikia bunduki kote Arusha, Morogoro na IRINGA. Usikubali kutumika kama gogo la msalani weye alaa!!Ndugu wanajamvi, Leo katika kupitia kumbukumbu zangu, nimekutana na kitu ambacho kimenifanya nitafakari na kuunganisha dots na ku cross ts na kupata jibu juu ya vifo vya watz katika mikutano ya CDM.
Katika pekua yangu nikakutana na Slaa akiwahutubia na kuwataka wananchi waende Polisi kuwatoa viongozi wa CDM waliokuwa wamekamatwa na Polisi wa Arusha kwa kufanya maandamano haramu. Ni kutokana na kauli hiyo, watu wakaelekea kituoni na matokeo yake, watu 2 wakafa.
Lau kama isingekuwa kauli hiyo, nchi isingeshuhudia mauaji hayo.
Kauli nyingine chonganishi, zilizotolewa na huyo Slaa, ni ile ya Moro pamoja na Iringa na matokeo yake yanajulikana. Ni kutokana na ukweli huo, ninadiriki kutamka kwamba Mikono ya Slaa ina damu za watz waliouwawa katka shughuli za CDM na ninaamini kuwa katika umri wake pamoja na historia yake ya kupitia kwenye utumishi wa mungu, anapaswa kutubu na kuomba msamaha kwa mungu wake pamoja na watz kwa ujumla.
UDINI tu!.. Chimbua historia ya unayemuunga mkono hutatamka neno na kuacha domo lako wazi!..Sasa mtu ambaye kaiba mke wa mtu alfu akazini nae mpaka akamzalisha unategemea atakuwa na kheri!!!
Ukiposti vitu vya kijinga jinga lazima ujibiwe sawa na ujinga wako!.Kwani lazima utukane?
Tatizo lako ni udini!.Hicho kibabu kinachoitwa dr.silaha sijui gobole kitakuwa cha kwanza kwa wanasiasa wa Tanzania kutiwa motoni, huwezi kutumia ujinga wa watu ili kujikuza kisiasa and to get away with it, lazima awajibikie moto kwa mauaji ya vijana wasio na hatia unless afanye confession na toba.Bila watu wajinga chadema isinge pata umaarufu, maana sera zao mbovu zisizotekelezeka na umahili wa viongozi wa chadema katika kujenga hoja hauna nafasi ndani ya jamii ya watu wanao-argue, jamii ya watu wenye uweredi na jamii ya watu wazalendo wenye msimamo wa wanayoyaamini.Chadema imejizolea vijana wajinga kwa kufuata na kutekeleza ile kauli isemayo "wajinga ndio waliwao" na kuwatumia katika operesheni zao za fujo na shari, matokeo yake vijana hao wanaishia kuuwawa ili watumie mauaji hayo kujengea chuki kati ya wananchi na serikali yetu.Jamii ya watu kama mimi ambao hatutawaliwi kimawazo wala kifikra ndio tunaweza kuona "udikteta wa magwanda" ila ukikurupuka unaweza kuitupia lawama serikali au jeshi la polisi juu ya vifo vya watanzania wenzetu ambavyo vinasababishwa na magwanda. Badilika ubadilishe taifa.
Alipopigwa mke wa Slaa na viongozi wengine Arusha wewe ulikuwa mombasa?Tatizo wao wenyewe huwa hawatokei maeneo ya tukio wanakimbia wanaacha wananchi wasio na hatia.
Kwa hiyo aliyeshitakiwa Iringa ni Slaa?Ndugu wanajamvi, Leo katika kupitia kumbukumbu zangu, nimekutana na kitu ambacho kimenifanya nitafakari na kuunganisha dots na ku cross ts na kupata jibu juu ya vifo vya watz katika mikutano ya CDM.Katika pekua yangu nikakutana na Slaa akiwahutubia na kuwataka wananchi waende Polisi kuwatoa viongozi wa CDM waliokuwa wamekamatwa na Polisi wa Arusha kwa kufanya maandamano haramu. Ni kutokana na kauli hiyo, watu wakaelekea kituoni na matokeo yake, watu 2 wakafa. Lau kama isingekuwa kauli hiyo, nchi isingeshuhudia mauaji hayo.Kauli nyingine chonganishi, zilizotolewa na huyo Slaa, ni ile ya Moro pamoja na Iringa na matokeo yake yanajulikana. Ni kutokana na ukweli huo, ninadiriki kutamka kwamba Mikono ya Slaa ina damu za watz waliouwawa katka shughuli za CDM na ninaamini kuwa katika umri wake pamoja na historia yake ya kupitia kwenye utumishi wa mungu, anapaswa kutubu na kuomba msamaha kwa mungu wake pamoja na watz kwa ujumla.
Kwa hiyo aliyeshitakiwa Iringa ni Slaa?
Ukiposti vitu vya kijinga jinga lazima ujibiwe sawa na ujinga wako!.
Umepitia vitabu damn it! hata kusoma nina wasi wasi kama unajua!! Umetumwa na KAMUHANDA au IGHONDU kama siyo wewe IGHONDU. Kama TISS wako hivi hakuna NCHI hapa!! Una kichaa cha kuku nina uhakika. Polisi anaua unasema wameua kwa ajili mtu asiyekuwa kwenye system yoyote ya serikali! Aliwashikia bunduki kote Arusha, Morogoro na IRINGA. Usikubali kutumika kama gogo la msalani weye alaa!!
Na zile vurugu za Majuzi Bububu huko zenji yawezekana ni kauli ya Dr Slaa!
Ndio nakuuliza hivi, kama inajulikana kosa ni la Dr.Slaa, na wananchi hawana hatia kama ulivyosema, wanauliwa wa nini? Mbona sikamatwe huyo unayemsema ndio mwenye kosa?
Wao wanajifunza kuuwa, sisi tunajifunza kufa! Kauli ya Mawazo Alphonce wakati wa vurugu Morogoro. Sijawahi ona hata kiongozi mmoja au mwanachama mmoja wa chadema amekufa katika vurugu kama hizi... kwanini ni wananchi wa kawaida na mashabiki tu? Kunani hapa? Je, ni mpango wa serikali? Au ni tactics za chadema?
Tena viongozi wanakaa mstari wa mbele kabisaaa... Hii inakuwaje hawapatwi wao wanauawa waandishi, wananchi, wauza magazeti... Kunani hapo Chadema?!
Hivi hujui kuwa ukaskazini ndo unamsumbua Mwema ashindwe kuwakamata na kuwasweka akina Slaa. Mbona ukweli unajulikana.
Hivi hujui kuwa ukaskazini ndo unamsumbua Mwema ashindwe kuwakamata na kuwasweka akina Slaa. Mbona ukweli unajulikana.