Kauli za Slaa na mauaji ya raia wasio na hatia

Na zile vurugu za Majuzi Bububu huko zenji yawezekana ni kauli ya Dr Slaa!
 
Katika pekua yangu nikakutana na Slaa akiwahutubia na kuwataka wananchi waende Polisi kuwatoa viongozi wa CDM waliokuwa wamekamatwa na Polisi wa Arusha kwa kufanya maandamano haramu.
Na mimi katika pekua yangu nikakuta wakazi wa Dar es Salaam wakihamasishwa waende makao makuu ya Polisi kuwatoa wahalifu waliokuwa wamekamatwa kwa kugomea kuhesabiwa katika zoezi la sensa.
Ni kutokana na kauli hiyo, watu wakaelekea kituoni na matokeo yake, watu 2 wakafa.
Ni kutokana na hamasa hiyo, watu wakafanya maandamano haramu kuelekea huko, hakuna mtu aliyeuawa ila wahalifu wote waliachiwa.
Lau kama isingekuwa kauli hiyo, nchi isingeshuhudia mauaji hayo.
Lau kama isingekuwa hamasa hiyo, nchi isingeshuhudia wavunjaji wa sheria wakitamba mitaani.

Note - Hapa tunajifunza nini? Ni kwamba sheria zetu zina macho...nakumbuka wakati fulani tulipoambiwa kwamba mafisadi wakubwa hawatakiwi kukamatwa kwani wakikamatwa nchi inaweza kuyumba.

Piece of advice to kalikenye...never throw objects at a crocodile, you might be asked to retrieve them!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wanajamvi, Leo katika kupitia kumbukumbu zangu, nimekutana na kitu ambacho kimenifanya nitafakari na kuunganisha dots na ku cross ts na kupata jibu juu ya vifo vya watz katika mikutano ya CDM.

Katika pekua yangu nikakutana na Slaa akiwahutubia na kuwataka wananchi waende Polisi kuwatoa viongozi wa CDM waliokuwa wamekamatwa na Polisi wa Arusha kwa kufanya maandamano haramu. Ni kutokana na kauli hiyo, watu wakaelekea kituoni na matokeo yake, watu 2 wakafa.

Lau kama isingekuwa kauli hiyo, nchi isingeshuhudia mauaji hayo.

Kauli nyingine chonganishi, zilizotolewa na huyo Slaa, ni ile ya Moro pamoja na Iringa na matokeo yake yanajulikana. Ni kutokana na ukweli huo, ninadiriki kutamka kwamba Mikono ya Slaa ina damu za watz waliouwawa katka shughuli za CDM na ninaamini kuwa katika umri wake pamoja na historia yake ya kupitia kwenye utumishi wa mungu, anapaswa kutubu na kuomba msamaha kwa mungu wake pamoja na watz kwa ujumla.
Umepitia vitabu damn it! hata kusoma nina wasi wasi kama unajua!! Umetumwa na KAMUHANDA au IGHONDU kama siyo wewe IGHONDU. Kama TISS wako hivi hakuna NCHI hapa!! Una kichaa cha kuku nina uhakika. Polisi anaua unasema wameua kwa ajili mtu asiyekuwa kwenye system yoyote ya serikali! Aliwashikia bunduki kote Arusha, Morogoro na IRINGA. Usikubali kutumika kama gogo la msalani weye alaa!!
 
Hicho kibabu kinachoitwa dr.silaha sijui gobole kitakuwa cha kwanza kwa wanasiasa wa Tanzania kutiwa motoni, huwezi kutumia ujinga wa watu ili kujikuza kisiasa and to get away with it, lazima awajibikie moto kwa mauaji ya vijana wasio na hatia unless afanye confession na toba.Bila watu wajinga chadema isinge pata umaarufu, maana sera zao mbovu zisizotekelezeka na umahili wa viongozi wa chadema katika kujenga hoja hauna nafasi ndani ya jamii ya watu wanao-argue, jamii ya watu wenye uweredi na jamii ya watu wazalendo wenye msimamo wa wanayoyaamini.Chadema imejizolea vijana wajinga kwa kufuata na kutekeleza ile kauli isemayo "wajinga ndio waliwao" na kuwatumia katika operesheni zao za fujo na shari, matokeo yake vijana hao wanaishia kuuwawa ili watumie mauaji hayo kujengea chuki kati ya wananchi na serikali yetu.Jamii ya watu kama mimi ambao hatutawaliwi kimawazo wala kifikra ndio tunaweza kuona "udikteta wa magwanda" ila ukikurupuka unaweza kuitupia lawama serikali au jeshi la polisi juu ya vifo vya watanzania wenzetu ambavyo vinasababishwa na magwanda. Badilika ubadilishe taifa.
Tatizo lako ni udini!.
 
Kama siyo mnafiki soma thread hii ya tarehe 2/9/2012Re: PICHA: Hawa ndio waliomwua mwandishi wa Channel Ten huko Iringa Askari wanatakiwa kuwalinda wananchi na mali zao lkn kwa sasa imekuwa tofauti askari wamekuwa wauaji..Inasikitisha sana..
 
Ndugu wanajamvi, Leo katika kupitia kumbukumbu zangu, nimekutana na kitu ambacho kimenifanya nitafakari na kuunganisha dots na ku cross ts na kupata jibu juu ya vifo vya watz katika mikutano ya CDM.Katika pekua yangu nikakutana na Slaa akiwahutubia na kuwataka wananchi waende Polisi kuwatoa viongozi wa CDM waliokuwa wamekamatwa na Polisi wa Arusha kwa kufanya maandamano haramu. Ni kutokana na kauli hiyo, watu wakaelekea kituoni na matokeo yake, watu 2 wakafa. Lau kama isingekuwa kauli hiyo, nchi isingeshuhudia mauaji hayo.Kauli nyingine chonganishi, zilizotolewa na huyo Slaa, ni ile ya Moro pamoja na Iringa na matokeo yake yanajulikana. Ni kutokana na ukweli huo, ninadiriki kutamka kwamba Mikono ya Slaa ina damu za watz waliouwawa katka shughuli za CDM na ninaamini kuwa katika umri wake pamoja na historia yake ya kupitia kwenye utumishi wa mungu, anapaswa kutubu na kuomba msamaha kwa mungu wake pamoja na watz kwa ujumla.
Kwa hiyo aliyeshitakiwa Iringa ni Slaa?
 
Umepitia vitabu damn it! hata kusoma nina wasi wasi kama unajua!! Umetumwa na KAMUHANDA au IGHONDU kama siyo wewe IGHONDU. Kama TISS wako hivi hakuna NCHI hapa!! Una kichaa cha kuku nina uhakika. Polisi anaua unasema wameua kwa ajili mtu asiyekuwa kwenye system yoyote ya serikali! Aliwashikia bunduki kote Arusha, Morogoro na IRINGA. Usikubali kutumika kama gogo la msalani weye alaa!!

Read btn the line hutaongea upuuzi kama huo
 
Ndio nakuuliza hivi, kama inajulikana kosa ni la Dr.Slaa, na wananchi hawana hatia kama ulivyosema, wanauliwa wa nini? Mbona sikamatwe huyo unayemsema ndio mwenye kosa?

Hivi hujui kuwa ukaskazini ndo unamsumbua Mwema ashindwe kuwakamata na kuwasweka akina Slaa. Mbona ukweli unajulikana.
 
Kalikenye, una ugonjwa mbaya, tena umeanzia kichwani, kaombewe ili utokwe na pepo chafu la uchonganishi na uuaji. Watz wanaelewa, huwezi kuwadanganya kitu wewe. Wanaelewa IN AND OUT ya Dr Wetu.
 
He! Ndio maana Tundu Lissu aliwaambia uteuzi unaofanywa na Kikwete ni wa kipuuzi, ona sasa we mwenyewe unakubali, IGP naye yupo kikanda zaidi! Hii govt kweli dhaifu!
 
Wao wanajifunza kuuwa, sisi tunajifunza kufa! Kauli ya Mawazo Alphonce wakati wa vurugu Morogoro. Sijawahi ona hata kiongozi mmoja au mwanachama mmoja wa chadema amekufa katika vurugu kama hizi... kwanini ni wananchi wa kawaida na mashabiki tu? Kunani hapa? Je, ni mpango wa serikali? Au ni tactics za chadema?
Tena viongozi wanakaa mstari wa mbele kabisaaa... Hii inakuwaje hawapatwi wao wanauawa waandishi, wananchi, wauza magazeti... Kunani hapo Chadema?!

Simple: If you terminate a leader of any party chaos will prevail and police knows that. Whoever is against CDM it is only because he is in a good position in the current system. Killing during party processions or meetings targets to threaten people not to go in such gatherings! And here is what I say TRUTH shall prevail. Ua, usiue ukweli utabakia ukweli!
 
he! Ndio maana Tundu Lisu aliwaambia uteuzi unaofanya na Kikwete ni wa kipuuzi, ona sasa we mwenyewe unakubali, IGP naye yupo kikanda zaidi! Hii govt kweli dhaifu!
Hivi hujui kuwa ukaskazini ndo unamsumbua Mwema ashindwe kuwakamata na kuwasweka akina Slaa. Mbona ukweli unajulikana.
 
Hivi hujui kuwa ukaskazini ndo unamsumbua Mwema ashindwe kuwakamata na kuwasweka akina Slaa. Mbona ukweli unajulikana.

MH kama mawazo yako ni hayo hatutafika. Kama mkuu wa polisi atafanya kazi bila kufuata hadidu za rejea kweli serikali yetu haina viongozi!
 
Back
Top Bottom