Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,084
kauli aliyo toa spika wa bunge ni za kisiasa zaidi kuliko kujali masilahi ya umma alikuwa wapi mwanzo wakati bunge linafunga mjadala wa Richmond? wakati yeye angepaswa kuruhusu mjadala uendelee, kwasasa kauli aliyo itoa eti yupo tayari kuwajibishwa kwa kukemea ufisadi ni uzushi asifanye watanzania nikama ccm yao ya kipuuzi watu siku hizi wanafahamu mbichi na mbivu kwa hiyo sitta akubali alikuwa anatetea masilahi ya chama na si masilahi ya watanzania, ccm imeoza