Kauli za Samwel Sitta ni za kisiasa zaidi

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
kauli aliyo toa spika wa bunge ni za kisiasa zaidi kuliko kujali masilahi ya umma alikuwa wapi mwanzo wakati bunge linafunga mjadala wa Richmond? wakati yeye angepaswa kuruhusu mjadala uendelee, kwasasa kauli aliyo itoa eti yupo tayari kuwajibishwa kwa kukemea ufisadi ni uzushi asifanye watanzania nikama ccm yao ya kipuuzi watu siku hizi wanafahamu mbichi na mbivu kwa hiyo sitta akubali alikuwa anatetea masilahi ya chama na si masilahi ya watanzania, ccm imeoza
 
We bado unaendelea kumsikiliza Sitta, mwenzio nilishaacha zamani toka alipokuwa pale TIC!! Ni mchemfu mzuri tu, si unajua siasa za kuganga njaa na kulindana!!

Njoo savannah Lounge tujiburudishe na beer za baridiiii, achana na wanasiasa wa Tanzania!!
 
Ukishalewa unarudi tena kumzungumzia sita
 
nibora tuendelee kuelimisha watu huku jf then bata baadae tuinyanyue tanzania safi kwanaza then mabo mengine baada wote tuelimike kwanza, angalia kauli za kisiasa eti kilimo kwanza , na elimu je,
 
Tusiongelee habari ya Sitta...mfumo uliopo Tanzania ni mgumu mno mtu yeyote anayehitaji kufanya mabadiliko labda awe kwenye ngazi ya U-rais na hata Rais mwenyewe awe ni mtu aliyejitoa kweli na sio mtu aliotoka kwenye mitandao iliyopo. Ukitaka kubadili system iliyopo waliopo kwenye system wanakwambia huwezi kubadili system labda ubadilike mwenyewe....Ipo kazi kubadili system iliyopo tufanye maombi sana ni Mungu pekee mwenye uwezo wa kubadili.
 
Point taken. But, then, exactly who is/are in charge of the system? Have we already created a (invisible) monster we can no longer control?
 
We bado unaendelea kumsikiliza Sitta, mwenzio nilishaacha zamani toka alipokuwa pale TIC!! Ni mchemfu mzuri tu, si unajua siasa za kuganga njaa na kulindana!!

Njoo savannah Lounge tujiburudishe na beer za baridiiii, achana na wanasiasa wa Tanzania!!

Kumbe tunaongea na walevi
 
Rais asiyetoka kwenye mtandao wowote labda awe alipatikana kwa sera ya mgombea binafsi. Lakini kama ni chama, basi lazima mtandao uwepo.
 
that is poli trikers and their poli- tricks boat usishangae sana! but tujipange though upinzani bado uko mzito sana! be smart and you will be able to fight that! only blames cant solve that! lets we play our part then we finish those shits! Aluta...........continuaa!
 
Kweli system ya tanzania ni ngumu na si tanzania tu nafikiri ni most of the 3rd world countries. Inahitaji sacrify ya nguvu labda apatikane mlady sasa naona wanaume wanaboronga tu. 2015 mtanisupport
 
Mlitaka sitta afanyeje? mimi nafikiri amejitahidi wala wa Tanzania hatukumuunga mkono muda wote hata kwakuonyesha hisia zetu kwa maandamano or something like...

Ni vigumu sana kuwatetea wabongo wepesi kukutosa nawahurumia kina mrema..enzi hizo?
 
Rais asiyetoka kwenye mtandao wowote labda awe alipatikana kwa sera ya mgombea binafsi. Lakini kama ni chama, basi lazima mtandao uwepo.

Hakuna mtu anayekataa mtandao hata huyo mgombea binafsi lazima atakuwa na mtandao wake tunachotaka ni mtandao safi si wakutumia mali za umma EPA kuingia madarakani mtu wa aina hiyo akiingia kwa pesa ya wizi lazima atatumia madaraka kulipa fadhila na si kuwatumikia wananchi
 
Ule wote ni unafiki tu mbona alikuwa na nafasi kubwa ya kufanya kwa vitendo bungeni hakufanya hivyo tatizo la viongozi tz wanfanya wananchi wote ni wapumbavu saana
 
Tusiongelee habari ya Sitta...mfumo uliopo Tanzania ni mgumu mno mtu yeyote anayehitaji kufanya mabadiliko labda awe kwenye ngazi ya U-rais na hata Rais mwenyewe awe ni mtu aliyejitoa kweli na sio mtu aliotoka kwenye mitandao iliyopo. Ukitaka kubadili system iliyopo waliopo kwenye system wanakwambia huwezi kubadili system labda ubadilike mwenyewe....Ipo kazi kubadili system iliyopo tufanye maombi sana ni Mungu pekee mwenye uwezo wa kubadili.

Yale yale ya mwafrika,give God a break for Christ sake,kama unadhani Mungu hachoki wala haitaji mapumziko jiulize kwanini alipumzika siku ya saba wakati wa uumbaji wa dunia....Mambo mengine yako ndani ya uwezo wetu!
 
Mlitaka sitta afanyeje? mimi nafikiri amejitahidi wala wa Tanzania hatukumuunga mkono muda wote hata kwakuonyesha hisia zetu kwa maandamano or something like...

Ni vigumu sana kuwatetea wabongo wepesi kukutosa nawahurumia kina mrema..enzi hizo?

Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe. Watz ni wagumu sana kutetea haki zetu, na ni wepesi wa kushangilia pale anapojitokeza jasiri kusema, lakini akisakamwa wote wanamgeuka. Utakumbuka wakati wa kudai haki vyuoni, kinachoelezwa ni cha kweli kabisa, na bila mgomo mambo hayatekelezwi, lakini bado kuna wale wanaotetewa hata hawaoni haja ya kuwepo kwenye mgomo, na anayejitokeza watamtosa kabisa. Ndicho kinachofanywa kwa watetea haki wengine, wanatoswa pale utawala wa kidhalimu unapowakandamiza. Ni mara ngapi Dr.Slaa amepewa support zaidi ya kushabikia tu anapowaumbua mafisadi?
Inabidi tubadilike tuanze kuwaenzi wapigania haki, kwa kujitosa kuungana nao hata kwa maandamano ya kuwaunga mkono.

BUT: sidhani kama Sita amefanya jambo la maana zaidi ya kutaka sasa kujipa sifa asiyostahili. Sio yeye aliyekuwa anakandamiza upinzani bungeni kwa ubabe wake?
 
Mkuu Mikefe cha kufanya ni kupambana na mfumo,na kwa kuanzia tukubali kuwa na mgombea binafsi ambae hatatanguliza maslahi ya chama au ya kundi fulani bali siku zote atatanguliza maslahi ya Watanzania kama Taifa
 
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe. Watz ni wagumu sana kutetea haki zetu, na ni wepesi wa kushangilia pale anapojitokeza jasiri kusema, lakini akisakamwa wote wanamgeuka. Utakumbuka wakati wa kudai haki vyuoni, kinachoelezwa ni cha kweli kabisa, na bila mgomo mambo hayatekelezwi, lakini bado kuna wale wanaotetewa hata hawaoni haja ya kuwepo kwenye mgomo, na anayejitokeza watamtosa kabisa. Ndicho kinachofanywa kwa watetea haki wengine, wanatoswa pale utawala wa kidhalimu unapowakandamiza. Ni mara ngapi Dr.Slaa amepewa support zaidi ya kushabikia tu anapowaumbua mafisadi?
Inabidi tubadilike tuanze kuwaenzi wapigania haki, kwa kujitosa kuungana nao hata kwa maandamano ya kuwaunga mkono.

BUT: sidhani kama Sita amefanya jambo la maana zaidi ya kutaka sasa kujipa sifa asiyostahili. Sio yeye aliyekuwa anakandamiza upinzani bungeni kwa ubabe wake?

Sitta ni mwanasiasa amepima upepo akaona wananchi wenyewe wabongo! angetoswa na NEC au CCM nani angekuwa nyuma yake wangemsahau kama Mrema?

Wakati ukifika wananchi wanawatetea viongozi wanaotetea ukweli ndio tutaondoka na siasa chafu..zitto mwenyewe watu wameshamtosa wanatetea waharibifu wa demokrasia (mbowe) what do you expect?
 
nibora tuendelee kuelimisha watu huku jf then bata baadae tuinyanyue tanzania safi kwanaza then mabo mengine baada wote tuelimike kwanza, angalia kauli za kisiasa eti kilimo kwanza , na elimu je,
watanzania tunaendekeza ziki za kijinga pasipo kufahamu nini matokeo yake na faida yake watu kama hawa ni wakuwakataa mapema na kuuwambia umma uozo wao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom