Kauli za Samwel Sitta ni za kisiasa zaidi

Point taken. But, then, exactly who is/are in charge of the system? Have we already created a (invisible) monster we can no longer control?

Third Protocol -Ambao ni combination ya:-
1. Wahindi Matajiri wanao wa control wanasiasa wote wenye nguvu pamoja na
maofisa wa serikali wa ngazi za juu.

2. Wawekezaji wakubwa toka nje ambao wanatoa hongo kubwa kubwa kwa
viongozi hao waliotajwa hapo juu ili sheria na mikataba mibovu vipitishwe.

Hawa wanasiasa wetu tunawaonea bure. Wao wanaganga njaa tu ili waweze kuishi maisha ambayo ni juu ya uwezo wao kama kusomesha watoto majuu, kujenga mahekalu, kuendesha magari makubwa n.k. maisha ambayo wanataka yaendane na status yao ki cheo. Sasa sijui tulaumu mishahara midogo wanayopewa?

Wenyewe mmejionea akina Selelii, Mwakyembe, Anna Kilango, Mpendazoe, Sitta, Ole Sendeka, Kimaro n.k., yaani wapambanaji, jinsi kwa muda mfupi tu walivyonyea. Sijui waliambiwa nini mpaka wakafikishwa hapo.. Siku moja tutajua ukweli......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom