Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,988
- 48,485
Tulipigana kibuti lakini nilipigwa matukio balaa nikaona eeh niende tu Sasa kachakaa mbwa yule 😂😂Kwa hiyo nani alimpiga kibuti mwenzake?
Tulipigana kibuti lakini nilipigwa matukio balaa nikaona eeh niende tu Sasa kachakaa mbwa yule 😂😂Kwa hiyo nani alimpiga kibuti mwenzake?
🤣🤣🤣 daaahTulipigana kibuti lakini nilipigwa matukio balaa nikaona eeh niende tu Sasa kachakaa mbwa yule 😂😂
Na huyo mwanamke mwenyew wameachana 😂😂😂🤣🤣🤣 daaah
Saivi amefulia?🤔
Kajuaje kitumbua chake kitamu?"Kmmk SYB hutakaa upate demu mwenye kitumbua kitamu kama changu....."
Nilimwangalia sikummaliza.....
View attachment 2489424

Mpwa😂😂😂"Kmmk SYB hutakaa upate demu mwenye kitumbua kitamu kama changu....."
Nilimwangalia sikummaliza.....
View attachment 2489424
Napitia comments.Na huyo mwanamke mwenyew wameachana![]()
😂😂Mupenzi
X namba ake ya simu, au kukaribiana nae barabarani kumpa salamu ya kazi gani?Habari ya muda huu wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika mahusiano pindi yanapokaribia kufikia tamati kuna kauli ambazo mpenzi wako huwa anazitoa kwako
Zinaweza kuwa nzuri au mbaya lakin naamini Asilimia 90% huwa ni mbaya
Binafsi mimi kuna kauli moja niliambiwa nikabaki naduwaa
"Najua mimi sio mzuri lakini huwezi kumpata aliye bora kunizidi mimi"
Je, wewe ulipewa kauli gani ambayo hadi leo unaikumbuka?
Huyo katilisanaNimewahi kuambiwa..
"Niliisha kuua kitambo tu kaandae kaburi"
Tulikuwa hatujapima muda wote wa mahusiano wa mwaka mmoja. But sikuwahi kwenda nyama kwa nyama.
Ilibidi nikapime nikajikuta nipo poa sana. Ila nilipata stress aisee.
Kwa hiyo unafurahi mwenyewe🤣🤣🤣Na huyo mwanamke mwenyew wameachana 😂😂😂
Sana 😂😂😂Kwa hiyo unafurahi mwenyewe🤣🤣🤣
Kurudi Kwa ex ni kutokujitambua Tena hasa Hawa wanaojifanya miungu watu"Hapa kwangu utarudi tuu" aliniambia siku nabwaga manyanga.
Kuda deq😄😄😄😄Tena zaid yakealf kuna sku nkamchana nkamwambia uliniambia hv na hv
Kila siku asubuhi anakuamsha ama😄😀😀😀Aliondoka Kwa kashfa alafu akasema nitapata tabu sana yeye ndo mwanaume wa maana na kapta mwanamke mzuri na anamprnda,Sasa my wangu sijui kakumbwa na nn sikuhiz 😂😂😂😂doh
Wese likikaa sana mwilin n tatz jingineIlikuwa ni meseji
Baada ya kusikia ninanunua malaya wa mtandaoni kwenye kumbembeleza kuwa sio habari za kweli akanitumia hiyo meseji
Hyo kauli inakufanya unajiona kam mshindi fulan ivi😁😁Kwa kuwa ulishapata ulichotaka, poa