Kauli za Kikwete na Sirro zinaashiria kuna tatizo kwenye kifo cha Dkt. Reginald Mengi..

hapa nimenusa harufu ya zengwe kwa huyu binti,,huwezi ukaanza kufuatilia homicide baada ya mazishi kufanyika,ushahidi utabase kwa maneno ya mtandaoni na msibani?,au ndo binti anasukiwa zengwe la moneylaundry
Kama kuna mashaka na kifo cha marehemu wataanzisha shauri la uchunguzi wa kifo. Inquest.
 
Naona tuhuma kwa Klyin zimepungua. Tuliwaambia msiwe obsessed sana na habari mitandaoni bila tafakuri.

Kuna wengine wakasema Klyin alirudi Nchini mapema!! Kuna waliosema eti hatafika Machame!

Cc Zogwale
9ea6f3e7f04d835a45a2a10b2ad2fc4b.jpg
Wananzengo wameamua kuzama naye jumla jumla.
 
MENGI..kupenda na kuishi na amtakaye ni halali yake!
Kautumia vizuri muda wake uliobaki kwa kudeka kwa jacky...na kama ni mirathi..basi kagawa chake tena kwa hiari yake!
Watulie tu wangoje matokeo..isijekuwa mzee kampa cha unyoya wake 98%...
 
Oookay! Kwa hiyo msiba unaleta fununu nyiiingi ili kutusahaulisha kumuombea marehemu Mengi na kujadili yanayoendelea nchini kwetu?
Nilipoona wale wa chama kile wamejirundika msibani nilijua lazima mafununu yawepo na mashabiki wao wayafanyie shagwe...
Siamini nchi kama UAE haina wataalamu wa kupeleleza kesi aina hiyo mpaka ifike hapa nchini petu ambapo kukamilika upelelezi huchukua muda mrefu...
Maendeleo hayana chama
 
Unaweza kuthibitisha ili polisi wafanyie kazi?

Mengi ana ndugu, wana akili na wanaijua sheria. Kama kuna tatizo, wao ndio watakaokwenda kwenye vyombo vya dola ili hatua zichukuliwe.

Watanzania tuna mambo mengi asee, muda wa kuingillia maswala ya familia za watu unatoka wapi?
sasa wewe unafanya nini hapa kama si kuingilia familia za watu?
 
Naona tuhuma kwa Klyin zimepungua. Tuliwaambia msiwe obsessed sana na habari mitandaoni bila tafakuri.

Kuna wengine wakasema Klyin alirudi Nchini mapema!! Kuna waliosema eti hatafika Machame!

Cc Zogwale
Mkuu zimepungua ili kuweka ustaarabu tu mpaka msiba upite. Ukimalizika tutajua. Kuhusu kutofika machame siyo rahisi. Atazika ili kupisha maneno ya hapa na pale ila baada ya msiba true colours za wamachame zitajulikana.
 
Back
Top Bottom