Kauli za Kikwete na Sirro zinaashiria kuna tatizo kwenye kifo cha Dkt. Reginald Mengi..

Nyie kama mnataka habari subirini Jiwe akienda msibani huwa Hana simile ataropoka yote.....,na Hadi Muda huu tayari kashadokezwa na wambea wake,koo Lina muwasha huko alipo
Hahahaaah yaani huyu anatakiwa asipewe nafasi ya kuongea msibani.
 
Sitaki kuhukumu ila hili jambo li a historia na huenda kama familia ya mzee ungechukua hatua haya yasingetokes

Ndugu hawa ni jirani zetu kule uchagani, unajua story zetu majirani, mmoja wa ndugu alikuka nyumbani akawa analalamika anasema mzee anaumwa muda mrefu na binti yaani Jackie amemfungia ndani kampokonya simu na amemzuia kwenda hospitali, baada ya ndugu kumtafuta sana kwenye simu kwa zaidi ya siku tatu bila mafanikio wakaenda kugonga wakamkuta mzee hali ni mbaya na hajapelekwa hospitali na alipoulizwa skmu kwa nini haipatika i akasema anayo mke wake, mke alkpiulizwa kwa nini hajatoa taarifa kwa ndugu na kwa nini hajampeleka mzee hospitali akajibu kwamba ana dawa anatumia mpaka ziishe ndio atakwenda hospitali

Iliibika tafurani kybwa keenye familia na familia ilikuja juu ila mzee akawaomba hilo jambo liishe ili kulinda heshima yake,

Ila asikia Jack amemfanyia mzee vitu vinhi sana vyenye kutia ukakasi na vinapelekea familia kumuona kama muhusika mkuu wa kifo cha mzee
Duh
 
Bahati mbaya sana huyu demu ashahukumiwa na jamii hata itokee habari kwamba hajahusika na kifo cha Mengi

Jamii haita amini

Dunia ngumu sana hii
 
Bahati mbaya sana huyu demu ashakukumiwa na jamii hata itokee habari kwamba hajahusika na kifo cha Mengi

Jamii haita amini

Dunia ngumu sana hii
Na sijui kwa nn nguvu kubwa inatumika ili kusukumiziwa zigo. Mimi mawazo yangu yamenipeleka mbali sana nikahisi huenda matajiri wote ambao walimchangia lissu matibabu wanauwawa au chuki dhidi ya matajiri wanaofinance upinzani.
Pengine ni hofu tu za 2020
 
Yote yanawezekana kabisa kamsome tajiri mmoja anaitwa Bob Maxwell alivyo uwawa na Mosad ambao alikuwa ana wa fund kwenye operation zao lakini mwisho wa siku akaonekana threat safari yake kwenye dunia ikaishia hapo
 
Baada ya kupitia habri hzi tangu juzi moyo wangu unadiliki kusema kifo kina utata, ila ngoja tusubiri muda ufike.

Muda ni mwalimu mzuri!
 
Yote yanawezekana kabisa kamsome tajiri mmoja anaitwa Bob Maxwell alivyo uwawa na Mosad ambao alikuwa ana wa fund kwenye operation zao lakini mwisho wa siku akaonekana threat safari yake kwenye dunia ikaishia hapo
Nimebishana sana na washkaji kuhusu hili jambo, wote wanasema ni kylin kaua. Lakini mimi nikawaambia fikirieni nje ya box japo kuna ushahidi wa kimazingira unaomtia kylin hatiani. Msihukumu kwa ushahidi wa upande mmoja subirini na kylini azungumze.
Mimi na imani kabisa inawezekana pia dola ikawa imehusika kumuua embu fikiria mzee alikuwa na pesa na anatoka jimbo la upinzani alikuwa na uwezo wa kufinance siasa za chama pinzani
 
Hoja yako kuhusu eneo anakotoka kuhusika na upinzan halina uhakika
Nimebishana sana na washkaji kuhusu hili jambo, wote wanasema ni kylin kaua. Lakini mimi nikawaambia fikirieni nje ya box japo kuna ushahidi wa kimazingira unaomtia kylin hatiani. Msihukumu kwa ushahidi wa upande mmoja subirini na kylini azungumze.
Mimi na imani kabisa inawezekana pia dola ikawa imehusika kumuua embu fikiria mzee alikuwa na pesa na anatoka jimbo la upinzani alikuwa na uwezo wa kufinance siasa za chama pinzani
 
Naona tuhuma kwa Klyin zimepungua. Tuliwaambia msiwe obsessed sana na habari mitandaoni bila tafakuri.

Kuna wengine wakasema Klyin alirudi Nchini mapema!! Kuna waliosema eti hatafika Machame!

Cc Zogwale
 
Back
Top Bottom