Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,587
- 15,455
Hakuna kitu kama hiki.Kwa kweli ..amejitafutia balaa kubwa sana " Jela ina muita ...labda umuhonge jiwe papuchi huwenda akanusurika ...lakini jiwe alikuwa na mahusiano ya karibu na marehemu sidhani kama atahadaika na kulifumbia macho hili .....
Naona wazi kuna bonge moja la kesi litaibuka nakuitikisa nchi kama ilivyo kuwa kwa kifo cha kanumba na kesi ya mauaji ya Elizabeth Michael (lulu)
AMA KWELI TAMAA MBAYA