Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,372
- 6,078
Baada ya mbunge wa CCM kutoa kauli wazi bungeni ya kutishia maisha ya mbunge wa upinzani Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM taifa kutishia kuzifuta vyama vya upinzani ni wajibu wa viongozi wa CCM taifa kuwaonya viongozi wa aina hii kuendelea kuichafua CCM.
Vyama vya upinzani vipo kwa mjibu wa katiba na tusijaribu kuwaona ni maadui zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyama vya upinzani vipo kwa mjibu wa katiba na tusijaribu kuwaona ni maadui zetu
Sent using Jamii Forums mobile app