Kauli ya Viongozi yazidi kuichafua CCM

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Baada ya mbunge wa CCM kutoa kauli wazi bungeni ya kutishia maisha ya mbunge wa upinzani Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM taifa kutishia kuzifuta vyama vya upinzani ni wajibu wa viongozi wa CCM taifa kuwaonya viongozi wa aina hii kuendelea kuichafua CCM.

Vyama vya upinzani vipo kwa mjibu wa katiba na tusijaribu kuwaona ni maadui zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Interahamwe ktk ubora wao.

Magufuli alianza kupotea alivyoanza kuwabagua watanzania eti kisa si wanachama wa chama chake
 
CCM wamekua na viongozi wa ovyo sana..juzi Spika wa bunge anatamka bungeni kua Mh Zito amefanya kosa kama alichofanya Trump rais wa Marekani kwa kushirikiana na nchi za nje kukiujumu nchi yake.. Nikabaki najiuliza Mh Spika mtu mwenye cheo kikubwa hapa Tanzania anaweza kuongea maneno ya ovyo hivyo kweli!

Suala la viongozi wetu kuachia tu maneno bila kuyachuja yanatufedhehesha sana wananchi.
 
Ngoja POMPEO amsikie
CCM wamekua na viongozi wa ovyo sana..juzi Spika wa bunge anatamka bungeni kua Mh Zito amefanya kosa kama alichofanya Trump rais wa Marekani kwa kushirikiana na nchi za nje kukiujumu nchi yake.. Nikabaki najiuliza Mh Spika mtu mwenye cheo kikubwa hapa Tanzania anaweza kuongea maneno ya ovyo hivyo kweli!

Suala la viongozi wetu kuachia tu maneno bila kuyachuja yanatufedhehesha sana wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya mbunge wa CCM kutoa kauli wazi bungeni ya kutishia maisha ya mbunge wa upinzani Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM taifa kutishia kuzifuta vyama vya upinzani ni wajibu wa viongozi wa CCM taifa kuwaonya viongozi wa aina hii kuendelea kuichafua CCM.
Vyama vya upinzani vipo kwa mjibu wa katiba na tusijaribu kuwaona ni maadui zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Bunge la ccm= wasiojulikana.
 
bunge la Ndu**gay limekuwa Intarahamwe!
 
Back
Top Bottom