Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,806
rais atatoka cdm full stop
Umechemsha yeye ni mpare anatokea mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Mwanga tarafa ya Usangi. Labda huyo mumewe ndio atakuwa anatokea huko Ruvuma!
rais atatoka cdm full stop
Sawa kule amezaliwa tu lakini asili yake na kwao ni Kilimanjaro.Baba msukuma akiwa Dsm akazaa mtoto hapo mtoto huyo atabaki kuwa msukuma na sio mzaramo. Mfano mimi nilizaliwa Tanga lakini sio kwetu kwa asili kule na wala siwezi kusema mimi ni msambaa au mbondei eti kwakuwa nimezaliwa kule.ok tembeleeni hapa mjue alipotoka Asha-Rose Migiro - Wikipedia, the free encyclopedia
rais atatoka cdm full stop
kama hapo kuna shida, basi inatuhusu wengi, kaskazini kwangu mimi nikiiangalia ramani naona yuko sawa!
Mama Migiro ni Mpare labda huyo mumewe ndio wa Ruvuma.
Mbowe atakuwa Rais, chadema mnasemaje? mnamkubali DJ awe Rais?
unatumia sehmu ya mwili kufikiri...Sijui sasa utasemaje kwa Nyerere kucheza bao..kuwa nchi alipewa mcheza bao?Hapo madagascar tuu kaingia DJ wa kweli na si mmiliki wa ukumbu wa Disco..hadi leo nchi inakwenda vyema.Upuuzi wa africa hauna nafasi kwake.
Hili ni darasa tatizo vichwa vya watu wengi wana jografia za kukalilishwa kule shule za kayumba, hayo ndo matatizo ya mitahara ya tized.Wanatoka mkoa wa Mara ambao uko kaskazini mwa Tanganyika ingawa huwa wanasema uko kaskazini magharibi. Kama ilivyo Kilimanjaro na Arusha nao unapakana na Kenya. Sasa kama Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha iko kaskazini na inapakana na Kenya na wakati huo huo Mara nayo inapakana na kenya, huko kutakuwa wapi kama sio kaskazini? Au itakuwa ni Karibu na Mtwara? Kwa upande wa kaskazini mwa Tanganyika mikoa inayopakana na Kenya ni Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Mara. Hapo unaweza hata kumuongeza January makamba kama mgombea mwingine wa CCM mtarajiwa kutoka kaskazini ingaw Tanga nyo huwa inawekwa kaskazini mashariki. Sasa iwe kaskazini mashariki au magharibi zote hizo ni kwa umoja zinaitwa kasakazini. Tofauti ya hiyo kaskazini ni kuwa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro uko katikati yamikoa ya Mara na Tanga lakini yote ipo kaskazini na yote inapakana na Kenya!
Huruma yako ni ipi kwa huyu jamaa?Namuone ahuruma sana lowasa.kwanza ni kaskazini,pili ni mkristu..km anajisahau kuwa ni wachaga tuu
Tuta kubali kwani we unasemaje?Mbowe atakuwa Rais, chadema mnasemaje? mnamkubali DJ awe Rais?
Wewe ulijua ni kusini, mashariki au magharibi, Geografia hata ya darasa la 4 inakushinda? ShembagoTulimumu, Nyerere na Wasira ni wa kaskazini kweli? Makubwa haya! geografia yako haipo sawa au historia ya watu hawa kwakao haijakaa sawa! Au una maana gani? nakubalina Lowassa, Sumaye na huyu mpare Mama Migiro wanatoka kaskazini.