Kauli ya UVCCM Bagamoyo kuwa rais hatatoka kaskazini vipi kwa Lowassa, Migiro na Sumaye?

Kuna ukweli kwenye hizi propaganda zinazoenezwa kwenye mitandao hasa facebook?
''CONSPIRING COMMUNITY OF MUSLIMS (CCM)???''
''Nimeshachukua fungu kutoka nchi za kiarabu tuzitumie kuutokomeza kabisa huu ''mfumo kristo'' na hii ni kimya kimya, Si uliona nilianza na kuwachomoa kwenye Chama, tukachuka nafasi na hata serikali tumeishakamata nafasi muhimu. Kwa hiyo andaeni vijana waanze kazi ya kuwatia hofu, chomeni makanisa yao ila kwa awamu ili wapate muda wa kujisahau, Na hawa viongozi wao mwagia tindikali wafie huko, au watilieni polonium wapate kansa za damu na ngozi sawa? Halafu tunazuga kuwapeleka India ili ku'cover'... au siyo? kuhusu mahakamani msihofu tuna majaji wa kutosha, kesi zote zitaisha salama. Halafu nimekumbuka, fanyeni biashara kuongeza pato hata kama madawa ya kulevya kisha tuwakemee viongozi wao waache kuuza madawa, ili kuzugazuga, Si unajua ilee?, enhee halafu make sure hizo pesa zinajenga nyumba za ibada kila kona ya jiji sio kufanyia propaganda tu. Muangalie pia uwezekano wa kupata mafunzo al-shabaab ili hawa wanaojifanya wapinga ufisadi watiwe adabu, kwanza ndiyo maadui wakubwa wa uislam. Majasusi wa nje wameshastukia ila tumewapoza na mikataba minono na hata marais wao wameahidi kushirikiana na sisi na watakuja kuisainia hapa hapa. Si unajua wao wanataka mali tu, Na kale kachama kanajifnya kakiharakati na kizalendo kaacheni tu hakafiki 2015, kuna kijana pale na kundi kubwa tu la kukiharibu, tumeshamshika. Na hili jamaa linalopiga kampeni misikitini na makanisani tunalitafutia dawa yake, Kwanza nadhani ASHA anatosha, kama tulivyofanya kwa spika, si unakumbuka eeh?, Ila limejitahidi sana kujisafisha me nilidhani nimemaliza kazi ile January 2008. Anajifanya ana pumzi sana na mamvi yake. Lakini naomba tena na tena huu mpango uwe wa siri kubwa na waumini wenyewe wasijue wao ni kuwaelekeza tu sawa? Inshallah mwenyezi mungu akijalia mwaka 2030 hii inakuwa dola mpya ya kiislam. Inshallah...
 
Sawa kule amezaliwa tu lakini asili yake na kwao ni Kilimanjaro.Baba msukuma akiwa Dsm akazaa mtoto hapo mtoto huyo atabaki kuwa msukuma na sio mzaramo. Mfano mimi nilizaliwa Tanga lakini sio kwetu kwa asili kule na wala siwezi kusema mimi ni msambaa au mbondei eti kwakuwa nimezaliwa kule.
 
Mama Migiro ni Mpare labda huyo mumewe ndio wa Ruvuma.

Ila ni dini ile inayojinasibu ni ya ukweli..hicho ndicho kigezo kingine.

1.CCM.
2.Usitoke kaskazini.(usiwe mchaga per se)
3.Ikibidi basi uwe ktk dini inayolilia kuwa ya kweli.

Kweli uvivu wa pwani ni zaidi ya mzigo.Walilia sana ,misosi ya bure, sasa wanalilia kula nchi..na si kujenga nchi.
 
Rais mwaka 2015 kutoka Kanda ya Kaskazini ni swala lisilopingika.....Lakini kwa huyo mama itakuwa ni ngumu kwakweli..
 
Mbowe atakuwa Rais, chadema mnasemaje? mnamkubali DJ awe Rais?

unatumia sehmu ya mwili kufikiri...Sijui sasa utasemaje kwa Nyerere kucheza bao..kuwa nchi alipewa mcheza bao?Hapo madagascar tuu kaingia DJ wa kweli na si mmiliki wa ukumbu wa Disco..hadi leo nchi inakwenda vyema.Upuuzi wa africa hauna nafasi kwake.
 
Namuone ahuruma sana lowasa.kwanza ni kaskazini,pili ni mkristu..km anajisahau kuwa ni wachaga tuu
 
unatumia sehmu ya mwili kufikiri...Sijui sasa utasemaje kwa Nyerere kucheza bao..kuwa nchi alipewa mcheza bao?Hapo madagascar tuu kaingia DJ wa kweli na si mmiliki wa ukumbu wa Disco..hadi leo nchi inakwenda vyema.Upuuzi wa africa hauna nafasi kwake.

Jibu swali, kama hujui jibu kaa kimya. Hueleweki.
 
Wanatoka mkoa wa Mara ambao uko kaskazini mwa Tanganyika ingawa huwa wanasema uko kaskazini magharibi. Kama ilivyo Kilimanjaro na Arusha nao unapakana na Kenya. Sasa kama Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha iko kaskazini na inapakana na Kenya na wakati huo huo Mara nayo inapakana na kenya, huko kutakuwa wapi kama sio kaskazini? Au itakuwa ni Karibu na Mtwara? Kwa upande wa kaskazini mwa Tanganyika mikoa inayopakana na Kenya ni Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Mara. Hapo unaweza hata kumuongeza January makamba kama mgombea mwingine wa CCM mtarajiwa kutoka kaskazini ingaw Tanga nyo huwa inawekwa kaskazini mashariki. Sasa iwe kaskazini mashariki au magharibi zote hizo ni kwa umoja zinaitwa kasakazini. Tofauti ya hiyo kaskazini ni kuwa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro uko katikati yamikoa ya Mara na Tanga lakini yote ipo kaskazini na yote inapakana na Kenya!
Hili ni darasa tatizo vichwa vya watu wengi wana jografia za kukalilishwa kule shule za kayumba, hayo ndo matatizo ya mitahara ya tized.
 
jamani wanabodi mbona mnachanganya mambo? Freeman Aikaeli Mbowe alizaliwa 1961 jijini Dar es salaam je yeye ni mzaramo? Tufunge mjadala Asha Rose Mtengeti Migiro ni mpare kutoka kilimanjaro hata kama alizaliwa Ruvuma!
 
Tulimumu, Nyerere na Wasira ni wa kaskazini kweli? Makubwa haya! geografia yako haipo sawa au historia ya watu hawa kwakao haijakaa sawa! Au una maana gani? nakubalina Lowassa, Sumaye na huyu mpare Mama Migiro wanatoka kaskazini.
Wewe ulijua ni kusini, mashariki au magharibi, Geografia hata ya darasa la 4 inakushinda? Shembago
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom