Wala usiwalaumu chadema kwa kuitisha maandamano bila kuwashirikisha ukawa. Wamefanya hivyo ili kupata tathmini kama bado chama kina uhai au ndo kipo mochwari baada ya mgogoro na zimwi la ZITTO kuwaandama.
Yaani walichokifanya ni kama kile wao wanachokilalamikia kwenye MUUNGANO kuwa Tanganyika imevaa koti la Muungano.
Hao wanafiki tumeshawazoea. Wanapenda (ku)kinena kile wasichopenda kutenda.
Labda amfufue mama yake ndio zimwi lake limrudishie heshima ya kisasa vingnevyo chadema ataisikia kwenye vyombo vya habari aende kwa Mwigamba kachoka kutukanwa peke yake