Hao waandamanaji watakuangalia tu si ajabu ukafutwa kwenye uso wa sayari hiiHata mimi nikikutana na mwandamanaji nitakachomfanya hatasahau maisha yake yote.
Hao waandamanaji watakuangalia tu si ajabu ukafutwa kwenye uso wa sayari hiiHata mimi nikikutana na mwandamanaji nitakachomfanya hatasahau maisha yake yote.
Hata mimi nikikutana na mwandamanaji nitakachomfanya hatasahau maisha yake yote.
hivi wakati wananchi wanapopoa mawe msafara wa jk huyu jamaa hakuwepo?
Na mimi nikikutana na polisi aliyepanga mtaani mida ya jioni kichochoroni, nitakachomfanya, ataenda kumsimulia chagonja
Msangi asiyekufahamu ni nani? Asiyefahamu umepewa kuwa rpc kwa sababu zi ni nani? Ukiwafanyia hicho ulichosema utawafanyia kama vile ambavyo umewafanyia wengine utapata na ulipata faida gani? Hapa ni duniani, hatuishi milele, utakufa na utaacha familia ambayo watu wana chuki nayo. Hata kina hitler walikufa. Fanya uwezalo ila jua ipo siku Mungu Atakuona. Hii ni dunia. Wapo wenzako wanaosoma, au wewe uatsoma hapa, kama adhabu stahili kwa waandamaji ni hicho utakachofanya kwa mujibu wa sheria fanya kwa raha zako. Ila ipo siku Mungu atasikia vilio vya uliowatesa, utakaowatesa
Huyu si ndo alimsulubisha Ulimboka?
Ni vyema wakati mwingine kuchunga kauli yako na hasa unapokuwa mtu mwisho wa umma ukiwalenga wanasiasa. Hawa ni wapitaji tu.
ukikaa na rpc wa mbeya ahmed msangi ni mtu poa na anaushauri mzur sana ktk maisha na shughuli mbalmbal za kijamii na anamalengo ya kuifanya mby kuwa mahala pazur kwa biashara kwa kudumisha amani na utulivu ila machizi yatakayoandamana hata mimi ntayafanya ki2 mbaya zaid ya msangi
Mkuu hapa unawalenga ukawa au chadema peke yao?