Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 28,409
- 81,888
Kwani huyo magufuli yuko wapi mpaka Mheshimiwa Samia akose huo ujanja? Yaani Mtu akose ujanja kwa marehemu!! 🤔Samia Hana ujanja Kwa magufuli huo ndo ukweli
Ni Sawa na magufuli Kwa kikwete,kikwete Kwa mkapa,mkapa Kwa mwinyi, mwinyi Kwa Nyerere