Kauli ya Rais makini mstaafu BWM inamlenga MKWEERE? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli ya Rais makini mstaafu BWM inamlenga MKWEERE?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Jun 7, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,643
  Likes Received: 2,560
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda kauli ya BMW kuwa viongozi wengi wanapenda sifa za kuonekana ktk runinga marakwamara!!
  Anasema alisita kidogo baada ya kualikwa ktk jubilee hiyo ya kiongozi wa kiroho huko songea lakini ikambidi afike!

  Chanzo itv saa mbili usiku huu!!
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  kumbe ndo hivyoo..
   
 3. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 9,916
  Likes Received: 3,182
  Trophy Points: 280
  ...Kuna tafsiri nyingi...na uelewa unatofautiana kutokana na kada mbali mbali!
   
 4. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,643
  Likes Received: 2,560
  Trophy Points: 280
  Kwa hadhi ya rais,kauli hiyo we unaitafsiri vipi?
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,519
  Likes Received: 919
  Trophy Points: 280
  Tusimpambanishe kaka Benja na ******, nadhani hakumlenga m2 mmoja bali wale viongozi wanaoangukia humo!
   
 6. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,249
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  ****** siyo, benja safi sana.
   
 7. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 9,916
  Likes Received: 3,182
  Trophy Points: 280
  Km niwazavyo ndivyo basi tafsiri ya Mzee Mkapa ilikua ukitaka kubaki noble katika jamii ni kujichimbia...i.e kufanya yaliyo mema na kujificha sirini...wakati kauli hii ilimlenga Askofu aliyeadhimisha miaka hamsini ya utumishi na angali kwenye huduma!
   
 8. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,643
  Likes Received: 2,560
  Trophy Points: 280
  Remeber BMW bado ni mwanasiasa licha ya kustaafu urais, Na board language yake wakati anatoa kauli hiyo ilijiweka kisiasa!!
   
Loading...