Gashongoile
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 487
- 145
Wapii Ritz Hammy D na Misopakyindi? Issue kama hizi hamjitokezi nyie kila siku na Dr Slaa na CDM. Wapigweeeeeee tu chezea Pinda wewe. Nahiyo J Makamba si uunge mkono hoja? Rubbish kabisa
Bi Kiroboto hapendi kabisa hiyo kauli ya kuomba miongozo mkuu wanguNaombeni mwongozo, inapotokea Naibu Waziri anapingana na bosi wake yaani Waziri Mkuu, mimi mwananchi nifanye nini?
Komredi January,
Uendelee kutujuza kila litakalojiri wakati mkiwa kwenye mapambano na jeshi lenye maelekezo kutoka kwa waserikali wenzako huko mkoani...! Ningekuwa wewe nisingeenda badala yake ningeongea na Waziri Mkuu kwanza maana kumbuka Komredi wewe una maslahi ya 100 kwenye serikali ukivaa ile kofia nyingine...na pia kwa wananchi wako ukivaa hii ya kwetu sote...sasa hapo ku-balance ungepaswa kupatanisha tu sababu uko nao hao wakubwa, usihangaike kama sisi makapuku wengine, wenzako hawatokuelewa!
Heeee, yakitokea kwenye majimbo yenu ndio mnayaona??? Hayo maneno ungeyasema ukiwa bungeni wakati waziri wako anayatamka na watu wa arusha na mtwara wanapigwa, poleni sana wananchi wa bumbuli mungu atawasaidia.