Kauli ya Pinda sasa kwa January Makamba

Kauli ya Pinda sasa kwa January Makamba

Kumbe vipi sasa??anaanza kulia nuhu amfungulie safina??Wakati tunapigwa huku mtwara hadi kufukia mbunge mwenzao magamba kuswekwa rumande si walikua wanashangilia??Wauane wenyewe kwa wenyewe sasa,yeye makamba si ni wazir??huwa hakutani na huyo pinda sura mbaya kwenye vikao vyao akamueleza kishkaji?mibunge mingine ya ccm mipumbavu kweli kweli...
 
Kama waziri ulikuwa na nafasi kubwa kuongea na Pinda, kumuomba atolee ufafanuzi kauli yake, lakini ulidhani ni kwa CDM tuu. Leo hii unalalamika nini? "MKUKI KWA NGURUWE,KWA BINADAMU AMCHUNGU"
 
"...Nimeongea na IGP kwamba kuwe na restraint. Watu wetu huwa sio watu wa fujo. Hata hivyo, watu wakiwa na hisia kwamba wanaonewa wanaweza kufanya chochote. Naelekea huku kuungana na wananchi wangu, kama ni kupigwa tupigwe sote."

Wakati yule MJINGA anasema wana- CHADEMA wapigwe mliona ni sawa maana kwa akili zenu fupi na utaahira wenu mnafikiri kwamba CHADEMA ni wananchi wa daraja la pili na ninyi,laana iwe juu yenu, ndi wa first class...sasa unalalamika nini??? Hiyo ni amri waliyopata kutoka kwa MJINGA pinda ambaye pia ni kiranja wako.
 
Inasikitisha mno.
Hapana!!

Hii safi sana, maana jamaa walikuwa mstari wa mbele kushangilia wakati yule Mpu...vu anasema kama kupigwa, wapigwe tu! Sisi tumechoka bwana!!! Hivi walifikiri watapigwa wapenzi wa CHADEMA tu? Wazee wetu walikuwa wanajua sana Kiswahili "Mkuki kwa nguruwe, kwa Binadamu.............." Sasa walitaka watufanye sisi watu wa Ntwara, Arusha, Mwanza n.k ni nguruwe?

Polisi ongezeni kipigo kwa hao wachovu, sisi na PUNDA tumechoka bwana!!!!!!!!!!
 
Another case/story of insanity by the hell-bend people in the government!! HIivi Makamba arent you in a position to correct things, and not CRY for sympathy?
 
Matokeo ya wapgwe tu ndio hayo sasa watu wanaumizwa wanonelewa na vyombo vya dola wanajenga chuki na serikal yao ipo siku watasema tumechoka wataingia porin
 
Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu...................??? Zidumu fikra (sahihi??) za waziri mkuu!!!
 
piga hao... piga kabisa .. au uwa kabisa piga wote piga mpaka mbunge piga piga tu tumechoka afande endelea kupiga hao piga pia makamba snr. piga uwa nasema piga tumechoka... piga mbeya piga arusha piga msoga piga tu.... mlichagua ccm wenyewe piga wote....

Hahahahaha Mkuu hii asira ama??
 
Waislam wameshazoea!

Wakipigwa waislam utasika ''wamezidi hao hawataki kutii amri ya dola''
chadema piga!
Ccm piga!
Jwtz ua mtwara! Kamata viongozi wa CUF tesa!
 
What a conflict in the same government! Waziri Mkuu anasema "wapigwe tu" waziri wa Mawasiliano anasema "hAPANA" mkuu wa nchi anasemaje? au naye ndiye anayesema "Wapigwe tu"?
 
Nafikiri sasa huyu makamba jnr atakua amekubaliana na Mh Sugu kuhusu Kayanza. Kama bado anabisha asubiri aone atakavyopigwa na kitu kigumu chenye ncha kali
 
-------- mwingine bungen alipiga makofi leo analia nasema apigwe tu! Si sheria?
 
Eeeeeeh! Wapigwe tu, tena sana tu! Mbona sisi watu wa Arusha tulipigwa tu, watu wa Mtwara nao wakapigwa tu, sasa inapofikia hao wa Bumbuli kwanini wasipigwe tu? alaaaaaah! Wapigwe tu!
 
Tafadhali mwambie dogo januari

Baba wa taifa alituasa ukila nyama ya mtu, katu huachi kuila hata kama ni ya mtoto wako. Magamba mkula nyama ya watanzania mkiamini ni magwanda na marafiki zao, na bado mtatafunana wenyewe kwa wenyewe. Mkuki kwa... HOGERENI SANA
 
Back
Top Bottom