Nape Nape unafiki huo utakua mwanangu na mbingu hutaingia. Hebu wahurumieni watanzania masikini jamani.. Unajiamini hivyo kwa faida ya nani? Uliwaona wale akina mama waliokuwa wanalia pale mahakamani. Unawafananisha na nani ktk ukoo wanu? Hebu jaribu kumuenzi Mzee Nauye.Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM
Dah Umeiweka Vyema sana Mkuu
kijana mdogo kama wewe kushabikia kijana mwenzako kuvuliwa ubunge kwamatakwa ya walafi wachache ni umbumbu wa hali ya juu, genetically u a born mentally fit but coz of nurture u a now profound watch out Nape ma young.Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM
nasikia eti wanamuandaa mtoto wa marehemu sokoine wa kike agombee!
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM
Nape, utalipa haya yote unayoyafanya kabla hujaingia kaburini. ULAANIWE KULIKO NYOKA.Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM
Nape ameandika hivi kwenye Wall yake ya Facebook
Nimejaribu Kusoma Katikati ya Mstari nimetfsiri/Nimegundua kwamba
1. Piga Ua Garagaza ilikuwa ni Lazima Lema ang'olewe Ubunge wa Arusha kwa Maana kwa Mujibu wa CCM Lema alikuwa anazuia Shughuli za Uchumi na Biashara ziendelee
2. CCM Ilipanga hukumu ile ila Nape hawezi kuweka kitu Kifuani aidha kwa Chuki au Chochote kile ameamua kuweka wazi siri yote. Ila Sishangai si hawa ndio walivujisha barua juu ya Utata wa Uraia wa Sioi
3. CCM wanamuogopa Lema na Wasingependa Agombee tena (Ili Kurudisha "Amani" na "Utulivu" Arusha) So CDM wajiandae kisheria Naamini Mapambano ya CCM/Serikali yake hayajaisha jana. Watakuwa wanasubiri Muda wa Lema kukata/kukubaliana na Rufaa upite wafungue kesi nyingine ya Pingamizi.
4. Kwa hali inavyoelekea itachukua Muda Mrefu sana kwa Arusha kupata Mbunge
Nape ni ungwana pia kujibu maswali ya wanabodi.
1.Ni kweli Lema amepunguza idadi ya watalii?kama kweli kwa kiasi gani?takwimu plz
2.Kukosekana kwa Ajira kwa vijana ni Lema?kama ndivyo mbona ndiyo waliompa kura na ndiyo watamrudisha!
3. Miundo mbinu mibovu ya jiji na Stendi isiyo na hadhi haya yote ni Lema?
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM
Huyu kijana Nape, unafiki wake utaumbuka muda si mrefu. Atajuta kuwa mwanasiasa through ccm, baada ya 2015 atasahaulika katika medani za siasa. Sijui atafanya kazi gani jamani!