Kauli ya Mwenyekiti Taifa CCM kwamba kila mgombea ajipiganie inatulaza roho juu tuliounga juhudi, hatuna mizizi CCM, tusaidiwe

Pumbuvuz zao... Kama jumbo la siha eti wamwache Mwanri wampe mmasai mjinga moleli hiyo haipo!! ametema big G kwakaranga zakuonja. Au shinyanga eti wampe katambi? Kajenga lini chama? Au ubungo eti wampe mashinji wanaumwa...fyekelea mbali hayo mahamiaji haramu
 
chinembe; Nadhani wewe sio mfuatiliaji mzuri wa m/kiti. Ameshasema; yeye ndio mwisho wa uamuzi ila kwenyu wanazengo mjiulize; Huyu aliwashinda, tena kwa kishindo, sasa leo amerudi kwao kwa unyenyekevu kuomba kura japo kwa chama kingine. Wadhani waliompa zile kura watamkataa leo? Tunawataka waunga mkono waliokwisha onyesha nia tiyari
 
Mliambiwa kuunga mkono juhudi ni kuhama?

Na mtaulizwa, tangu mmehamia kule, mmefanya nini kuonyesha mmeunga mkono juhudi?

Mlijishushia hadhi sana kwa kushindwa kumsaidia mheshimiwa rais kwa kufanya anayotaka mahala mlipokuwa . Nlitegemea mngekaa katika vikao vyenu vya ndani, kuainisha mazuri ya Rais wetu na kuratibu namna gani mtaunga juhudi zake, na mkawa bayana ili kama kuna mwingine angeleta mizengwe, basi huyo ndiyo angeonekana adui wa juhudi.

Hata hivvyo si vibaya. Rais wetu anaendelea kuchanja mbuga. Anahitaji kuungwa mkono na kila Mtanzania mahala popote alipo na katika kila jambo alifanyalo. Mnaweze kuendelea kuunga mkono juhudi hizo hata mkiwa nje ya Bunge kama umma wote wa Watanzania unavyofanya.

Karibuni sana.

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 
Leo tutapata usingizi wa tabu sana, CCM mnatutupa kweli? Upendo mliotuonyesha umeishia wapi? Jamani jamani

Kamati Kuu, hasa Mwenyekiti, hatuna mizizi katika chama na tutabaguliwa, hawa wapiga kura na wanaCCM tuliowakuta ni waarabu wa Pemba,wanajuana kwa vilemba,tunaomba upendeleo maalum
Kwani hamkupata mlichoahidiwa?
 
Leo tutapata usingizi wa tabu sana, CCM mnatutupa kweli? Upendo mliotuonyesha umeishia wapi? Jamani jamani

Kamati Kuu, hasa Mwenyekiti, hatuna mizizi katika chama na tutabaguliwa, hawa wapiga kura na wanaCCM tuliowakuta ni waarabu wa Pemba,wanajuana kwa vilemba,tunaomba upendeleo maalum
Tutajuaje kuwa wewe ulihama chama kweli?
 
Leo tutapata usingizi wa tabu sana, CCM mnatutupa kweli? Upendo mliotuonyesha umeishia wapi? Jamani jamani

Kamati Kuu, hasa Mwenyekiti, hatuna mizizi katika chama na tutabaguliwa, hawa wapiga kura na wanaCCM tuliowakuta ni waarabu wa Pemba,wanajuana kwa vilemba,tunaomba upendeleo maalum
Watu wamechoka sana na uongozi wa mwenyekiti na kuna mapinduzi baridi yanaendelea ndani ya chama.
 
Leo tutapata usingizi wa tabu sana, CCM mnatutupa kweli? Upendo mliotuonyesha umeishia wapi? Jamani jamani

Kamati Kuu, hasa Mwenyekiti, hatuna mizizi katika chama na tutabaguliwa, hawa wapiga kura na wanaCCM tuliowakuta ni waarabu wa Pemba,wanajuana kwa vilemba,tunaomba upendeleo maalum
Wametoka kwa mbwembwe na hawatachaguliwa kwa mbwembwe walidanganywa wakakubali sasa yanawatokea puani.
 
Muendelee kuunga juhudi kwa sababu Yale mliyoyapigania serikali inayafanya! Shida ipo wapi so dhani kama msipikuwa viongozi ccm imewatupa
 
Leo tutapata usingizi wa tabu sana, CCM mnatutupa kweli? Upendo mliotuonyesha umeishia wapi? Jamani jamani

Kamati Kuu, hasa Mwenyekiti, hatuna mizizi katika chama na tutabaguliwa, hawa wapiga kura na wanaCCM tuliowakuta ni waarabu wa Pemba,wanajuana kwa vilemba,tunaomba upendeleo maalum
Utajibeba
 
Kauli hiyo haifuti maelekezo yanayowakataza wasimamizi wa uchaguzi kuwatangaza wagombea wa upinzani na huko visiwani ambako CCM huwa haishindi.
 
Back
Top Bottom