Kauli ya Mwenyekiti Taifa CCM kwamba kila mgombea ajipiganie inatulaza roho juu tuliounga juhudi, hatuna mizizi CCM, tusaidiwe

Zee nafiki lile, Hizi kauli kuwa "Kila mtia Nia ajipambanie" na Ile "Sijamtuma mtu kugombea ubunge " Ni unafiki Kama unafiki mwingine tuliozoea Toka kwake. Muongo
 
Usimwamini Jiwe katu!
Sasa amekuja na hii ya kuwasema polisi wasiwaonee wanasiasa (soma wapinzani) wakati wa kampeni aonekane ni mwenye huruma na mpenda haki kwa kila mtu.

Sijui kama anaamini watu wanamwelewa kwa hayo anayoyasema sasa hivi kuelekea kwenye uchaguzi.

Ni kama ana 'multiple personalities'.
 
Dictators are like that!
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom