Yaani Mwapachu anadiriki kusema Nyerere ni muongo ili tu ahalalishe kitendo cha Lowassa kununua nafasi ya kugombea urais Chadema na kumtosa Slaa. Yaani Edo kutoswa CCM kaonewa ila Slaa kutoswa Chadema ni sawa.
Kweli pesa mwanaharamu...
Mwapachu ni nani?[/QUOT
Hivi wanafunzi wa Data star college wanafaa kuitwa wanazuoni?
Wana zuoni lazima ifike wakati tuwe wawazi na wakweli, kwa hali hii ya sasa Lowasa ndo Rais
Halafu muweke mfumo utakaokuwa chini ya lowasa na maswaiba zake akina Chenge, karamagi na Rostam.Wewe una adabu ? raisi nyumban kwenu Tunataka tuundoe mfumo wenu duni Wa bagamoyo
Kwani Nyerere hawezi kuwa Mwongo?
Nyie ndio wale wa "ZIDUMU FIKRA LA MWENYEKITI WA CCM" yaani hata akiongea ujinga nyie mnakubali tu kwa kuwa mlivishwa ujinga
Lowassa ni Rais wetu awamu ya tano..
Lowassa ndiye RAIS 2015
Kuna mambo mengi yalimfanya Lowassa kupata negative media coverage ni vita kati ya makanisa makibwa Tanzania. 1995 ilitumika karaka hii kumtoa na ndio ilotumika sasa kumkata. Hakuna chengine ufisadi ni sababu ya kutunga zaidi. Namuunga mkona Mwapachi kabisa na ni wazi ccm walipotoka dodoma kumkata
hapo umetia chumvi lowassa hakupata kuwa waziri enzi za mwalimu
Mwapachu ni nani?[/QUOT
Hivi wanafunzi wa Data star college wanafaa kuitwa wanazuoni?
Niliwahi kusoma vitambu vya Mwapachu - hawezi kuleta lugha za vijiweni hapa, kuna watu wanaleta usanii tu, sina shaka akipata taarifa kwamba kuna watu wanajifanya kuwa yeye sina shaka atawachukulia hatua kali.
Halafu muweke mfumo utakaokuwa chini ya lowasa na maswaiba zake akina Chenge, karamagi na Rostam.
Kweli kuna watu walinyimwa akili za kufikiri.
Rais ameisha julikana tayari. Mambo yote mnayojadili ni ya nini?
Lowassa ni Rais wetu awamu ya tano..