Kauli ya Mwapachu Kuhusu Lowassa

Kauli ya Mwapachu Kuhusu Lowassa

Yaani Mwapachu anadiriki kusema Nyerere ni muongo ili tu ahalalishe kitendo cha Lowassa kununua nafasi ya kugombea urais Chadema na kumtosa Slaa. Yaani Edo kutoswa CCM kaonewa ila Slaa kutoswa Chadema ni sawa.

Kweli pesa mwanaharamu...

Soma uelewe ikibidi rudia hata mara kumi. nafikiri umepitia shule za kata
 
Sifa moja ya wanazuoni ni kujitegemea, kimawazo, kiuchambuzi na kimaamuzi. Hakuna wanazuoni dunianiani wanaokubaliana kwa kila jambo. Kama Mwapachu anaona hivi mimi naona vile na huu ndiyo uwanazuoni
Wana zuoni lazima ifike wakati tuwe wawazi na wakweli, kwa hali hii ya sasa Lowasa ndo Rais
 
Wewe una adabu ? raisi nyumban kwenu Tunataka tuundoe mfumo wenu duni Wa bagamoyo
Halafu muweke mfumo utakaokuwa chini ya lowasa na maswaiba zake akina Chenge, karamagi na Rostam.

Kweli kuna watu walinyimwa akili za kufikiri.
 
Tangu lini Lowasa akawa waziri serikali ya Mwl!! Mwongo bavicha halafu uwongo wenyewe dhaifu. Mwapachu nimjuaye aandika ufala huu atakuwa amechezewa akili. Mwombeni samahani haraka mburura wewe
 
Nyie ndio wale wa "ZIDUMU FIKRA LA MWENYEKITI WA CCM" yaani hata akiongea ujinga nyie mnakubali tu kwa kuwa mlivishwa ujinga

Umeona eeh!?!
Hao ndio viazi mburura...uwezo wao wa kufikiri ni sentimita chache sana hawawezi kuwaza nje ya box.
 
Kuna mambo mengi yalimfanya Lowassa kupata negative media coverage ni vita kati ya makanisa makibwa Tanzania. 1995 ilitumika karaka hii kumtoa na ndio ilotumika sasa kumkata. Hakuna chengine ufisadi ni sababu ya kutunga zaidi. Namuunga mkona Mwapachi kabisa na ni wazi ccm walipotoka dodoma kumkata
 
Crabat umeniacha njia panda! Je makanisa makubwa gani haya? Na je agenda yao kubwa ni nini?
 
hapo umetia chumvi lowassa hakupata kuwa waziri enzi za mwalimu

Mwapachu hawezi kuandika vitu kama hivyo, watu wamejiandikia tu. Kitu kingine haya mambo ya kusema eti mwenzake alimuahandi kwamba akitoka Uongozini basi atamwachia kiti - wana maana gani? kwani Tanzania imegehuka lini kuwa Taifa la kifalme au!!!
 
Halafu muweke mfumo utakaokuwa chini ya lowasa na maswaiba zake akina Chenge, karamagi na Rostam.

Kweli kuna watu walinyimwa akili za kufikiri.

Mara mia nchi iwe chini ya mabepari kuliko iwe chini ya wajinga mafukara wachache
 
MAKONGORO NYERERE ARUDI NCHINI
Atoa, Neno
Nanukuu

"Hakuna brashi wala sabuni ya kumsafishia Lowasa hadi awe safi Asema ..Amkaribisha Slaa ccm asema asiache siasa."
 
kwani hamjui kuwa mchakato wa kumfanya'MTAKATIFU' umeanza?hawezi kuwa mwongo!
 
Back
Top Bottom