Mwapachu hawezi kuandika vitu kama hivyo, watu wamejiandikia tu. Kitu kingine haya mambo ya kusema eti mwenzake alimuahandi kwamba akitoka Uongozini basi atamwachia kiti - wana maana gani? kwani Tanzania imegehuka lini kuwa Taifa la kifalme au!!!
Hapa chini ni employment history ya Lowassa kama inavyopatikana kwenye tovuti ya bunge:Ndugu zangu,
Sasa, Mimi binafsi, namuuunga mkono Edward Ngoyai Lowassa. Yako mengi ambayo kazuliwa huyu ndugu yetu; tunaambiwa tangu 1995 wakati Mwalimi Juluis Nyerere alipo tamka kwamba 'huyu kijana ninalo file lake; ana utajiri usiyoelezeka. Ana nyumba kadhaa.' Lakini huyo huyo Baba wa Taifa alimpenda sana Edward na kumpa madaraka ndani ya CCM na baraza la mawaziri. Kama Edward alikwa 'corrupt' swali ni kwaninini Baba wa Taifa hakumchukulia hatua za kisiasa na kisheria? Kwanini aseme hayo aliyoyasema mwaka 1995 wakati Edward Lowassa alikuwa akiongoza kupendwa dani ya CCM, ngazi zote na akitarajiwa ndiye angependekezwa kuw mgombea wa Urais? Jamani, wanazuoni, lazima mtafakari historia na hali halisi ilivyokuwa. Mhe Jakaya Kikwete hakuwa 'the favourite' candidate in 1995. Na Mwalimu alimtaka Ben Mkapa wakati ule awe Rais. Ilibidi Lowassa atoswe ki namna!
Culled From Wanazuoni
Crabat umeniacha njia panda! Je makanisa makubwa gani haya? Na je agenda yao kubwa ni nini?
MAKONGORO NYERERE ARUDI NCHINI
Atoa, Neno
Nanukuu
"Hakuna brashi wala sabuni ya kumsafishia Lowasa hadi awe safi Asema ..Amkaribisha Slaa ccm asema asiache siasa."
Ndugu zangu,
Nimekuwa kimya kwa muda mrefu katika mabadilishano ya fikra kwenye mtandao huu ambao kwa hakika, kwa maoni yangu, haubidi kuwa ni wa fikra pevu zisizo shawishika na misimamo ya 'kimalaya ya siasa'. Kama tutaserereka katika msingi huu, basi ni bora Chambi ukafunga virago na kusitish huu mtandao. Nimesoma mabadilishano na mabishano ya fikra kuhusu hali ya siasa nchini mwetu na hususan baada ya Mhe Lowassa kuamua kujiunga na Chadema na kuwa mwakilishi wa UKAWA katika kinyang'ariro cha nafasi ya Urais wa Jamhuri yetu ya Muungano. Sijui nyie wenzangu mmesimama au mmesimamia wapi katika suala hili.
Naomba niseme mwanzoni kabisa kwamba nchi yetu hii leo imefikia mahali ambapo wasomo, wanazuoni kama sisi katika mtandao huu, Hatuna budi kujitokeza na kuhesabika tunamuunga nani mkono katika uchaguzi ujao wa Rais wa Tanzania. Tuwe wakweli na siyo kuendelea kuegemea katika kificho cha 'uhuru' wa wanazuoni katika kutoa maomi na fikra kama vile sisi si wapiga kura au wananchi wanaothamini umuhimu kuhusu uongozi wa nchi yetu. Wakati huo umepitwa na hali halisi ya itikadi na maana muhimu ya uongozi wa Taifa.
Sasa, Mimi binafsi, namuuunga mkono Edward Ngoyai Lowassa. Yako mengi ambayo kazuliwa huyu ndugu yetu; tunaambiwa tangu 1995 wakati Mwalimi Juluis Nyerere alipo tamka kwamba 'huyu kijana ninalo file lake; ana utajiri usiyoelezeka. Ana nyumba kadhaa.' Lakini huyo huyo Baba wa Taifa alimpenda sana Edward na kumpa madaraka ndani ya CCM na baraza la mawaziri. Kama Edward alikwa 'corrupt' swali ni kwaninini Baba wa Taifa hakumchukulia hatua za kisiasa na kisheria? Kwanini aseme hayo aliyoyasema mwaka 1995 wakati Edward Lowassa alikuwa akiongoza kupendwa dani ya CCM, ngazi zote na akitarajiwa ndiye angependekezwa kuw mgombea wa Urais? Jamani, wanazuoni, lazima mtafakari historia na hali halisi ilivyokuwa. Mhe Jakaya Kikwete hakuwa 'the favourite' candidate in 1995. Na Mwalimu alimtaka Ben Mkapa wakati ule awe Rais. Ilibidi Lowassa atoswe ki namna!
Mimi namfahamu Edward. Ninyi mnaujua huo utajiri wake au basi akitoa michango hapa na pale ni pesa zake? Kati yenu mna utajiri zaidi ya Edward. Edward alivumilia na kumsaidia mwenzake (nasita sasa hivi kutumia neno 'rafiki') Jakaya ashinde uteuzi wa mgombea wa CCM hapo 2005. Aliamua hivyo baada ya makubaliano ya 1995. Wapo wengi wa Tanzania waliyojitolea muhanda, wa hali na mali kuungana na Edward kumwezesha Jakaya Kikwete kuwa Rais 2005. Kati yao, ndiyo wamekuwa karibu na Edward katika kinyang'anyiro cha majuzi Dodoma. Imani yao ilikuwa kwamba pamoja na mkanganyiko wa Februari 2008 wa Richmond ambao hauna mashiko yoyote ya ufisadi kwa maana ya rushwa, Rais Kikwete angemfungulia mlango mwenzake Edward kuwa mgombea wa CCM. Badala yake Edward bado akajengewa mzengwe wa utajiri kama Baba wa Taifa alivyofanya 1995. Hivi leo tukichambua nani kati yetu ni tajiri zaidi ya Lowassa tutakuwa na viongozi wanao kidhi mategemeo yetu?
Kuhusu hili swala la Richmond: Hivi baada ya taarifa ya Tume ya Bunge ya Dr Mwakyembe, Serikali litoa majibu. Mbona kwenye tuhum aza Bunge kuhusu Tegeta Escrow imekuwapo taarifa toka kwa Chief Secretary kuhusu suala hilo? Nani aliyejaribu kutoa maelezo ambayo yangemfungisha Lowassa au kumkomboa kwa kitendo chahe cha kujiuzuru kisiasa? Badala yake, wanazuoni wenzangu ambao sidhani kama tunazo facts za kutosha tuanaendelea kumshutumu Lowassa na kuwmona kama vile ni corrupt na kiongozi asiyefaa. It is not fair.
Mimi simlaumu Lowassa kujitoa CCM. Ni haki yake na kajieleza vipasavyo kuhusu maamuzi yake. Je, ni uamuzi wa uroho kuhusu U-Rais? Jamani, wanazuoni, hivi kweli tumefia hatua ya kumwona mtu ana uroho wa Urais? Ili awe au afanye nini ambacho sisi tufunge macho, na siyo tu kutoona, bali pia kuto chukua hatua? Ikifikia hapo, basi hatuna Taifa tena!!
Taifa letu limebahatika kufika hapa lilipofika mwaka huu. Wengi hatukutarajia kwamba yale ambayo tumekuwa tukitafakari na hata kusalia ghafla yameibuka. Sidhani na siamini kwamba ramani ya siasa ya Jamhuri yetu itabaki ilivyo ifikapo Desemba 2015. Ni ishara ya kheri na mwelekeo mwafaka kwa demokrasia ya Taifa letu.Naamini kwa dhati kabisa kwamba Edward Lowassa atakuwa kiongozi ambaye atasaidia ramani hii kuwa na muono mpya.
JV Mwapachu.
Culled From Wanazuoni
Pengine alikusudia kuwa alipewa wazifa wa uwaziri wakati Mwalimu angali hai. Kama ni kweli alikuwa ni fisadi kwa kiwango tunachoambiwa na Mwalimu hakumtaka, ilikuwaje Ben akamuweka katika baraza lake? Inakuwaje mteule wa Mwalimu akateuwa fisadi tena 'aliyetajwa' na Mwalimu katika vikao rasmi vya chama? Hakuogopa kukemewa?...Sasa hayo madaraka ambayo alipewa na Mwalimu kwenye baraza la mawaziri ni mwaka gani na position ipi?..
Taifa ni pale ambapo ndugu wadamu moja wanaachiana nafasi za kulitawala taifa. Lowassa na Kikwete siyo ndugu wadamu.
Mara mia nchi iwe chini ya mabepari kuliko iwe chini ya wajinga mafukara wachache
mshapoteza mchezo, mkajipange kwaajiri ya 2020
Nchi hii sidhani kama imetokea mtu kuachwa kwenye baraza la mawaziri kv tu ana tuhuma za ufisadi; hilo moja lakini pili, usisahau kwamba mambo ambayo hatimae Mkapa alikuja kuyafanya hata Mwalimu mwenyewe yalikuja kumshangaza na kama angeweza kushuhudia misimu yote miwili ya utawala wake, basi hakuna shaka Mwalimu angejilaumu sana! Jambo ambalo lipo wazi kabisa kwenye kumbukumbu za walio wengi ni pale Mkapa administration ilipoipiga bei NBC Ltd mbele ya macho ya Mwalimu ingawaje Mwalimu alionesha wazi kutokubaliana na jambo hilo! Itoshe tu kusema kwamba, Nyerere asingweza kumwamulia Mkapa nani awepo kwenye serikali yake na nani asiwepo na pia Mkapa asingeweza kumwacha Lowassa kwavile tu uadilifu wake umetiliwa shaka... hilo linawezekana kwingine lakini sio Tanzania, na in fact, Afrika!Pengine alikusudia kuwa alipewa wazifa wa uwaziri wakati Mwalimu angali hai. Kama ni kweli alikuwa ni fisadi kwa kiwango tunachoambiwa na Mwalimu hakumtaka, ilikuwaje Ben akamuweka katika baraza lake? Inakuwaje mteule wa Mwalimu akateuwa fisadi tena 'aliyetajwa' na Mwalimu katika vikao rasmi vya chama? Hakuogopa kukemewa?
Lakini si ni mashaka hayo hayo ambayo kwayo tunaambiwa Mwalimu alimkataa? Inawezekana Mwalimu alitia chumvi tuhuma hizo ili kumpitisha "mtu" wake? Maana kama zilikuwa ni tuhuma zenye maana sana, kwa kweli nisingetegemea mtuhumiwa azawadiwe uwaziri tena katika term ya kwanza tu ya Ben!Nchi hii sidhani kama imetokea mtu kuachwa kwenye baraza la mawaziri kv tu ana tuhuma za ufisadi; hilo moja lakini pili, usisahau kwamba mambo ambayo hatimae Mkapa alikuja kuyafanya hata Mwalimu mwenyewe yalikuja kumshangaza na kama angeweza kushuhudia misimu yote miwili ya utawala wake, basi hakuna shaka Mwalimu angejilaumu sana! Jambo ambalo lipo wazi kabisa kwenye kumbukumbu za walio wengi ni pale Mkapa administration ilipoipiga bei NBC Ltd mbele ya macho ya Mwalimu ingawaje Mwalimu alionesha wazi kutokubaliana na jambo hilo! Itoshe tu kusema kwamba, Nyerere asingweza kumwamulia Mkapa nani awepo kwenye serikali yake na nani asiwepo na pia Mkapa asingeweza kumwacha Lowassa kwavile tu uadilifu wake umetiliwa shaka... hilo linawezekana kwingine lakini sio Tanzania, na in fact, Afrika!
Ndugu zangu,
Nimekuwa kimya kwa muda mrefu katika mabadilishano ya fikra kwenye mtandao huu ambao kwa hakika, kwa maoni yangu, haubidi kuwa ni wa fikra pevu zisizo shawishika na misimamo ya 'kimalaya ya siasa'. Kama tutaserereka katika msingi huu, basi ni bora Chambi ukafunga virago na kusitish huu mtandao. Nimesoma mabadilishano na mabishano ya fikra kuhusu hali ya siasa nchini mwetu na hususan baada ya Mhe Lowassa kuamua kujiunga na Chadema na kuwa mwakilishi wa UKAWA katika kinyang'ariro cha nafasi ya Urais wa Jamhuri yetu ya Muungano. Sijui nyie wenzangu mmesimama au mmesimamia wapi katika suala hili.
Naomba niseme mwanzoni kabisa kwamba nchi yetu hii leo imefikia mahali ambapo wasomo, wanazuoni kama sisi katika mtandao huu, Hatuna budi kujitokeza na kuhesabika tunamuunga nani mkono katika uchaguzi ujao wa Rais wa Tanzania. Tuwe wakweli na siyo kuendelea kuegemea katika kificho cha 'uhuru' wa wanazuoni katika kutoa maomi na fikra kama vile sisi si wapiga kura au wananchi wanaothamini umuhimu kuhusu uongozi wa nchi yetu. Wakati huo umepitwa na hali halisi ya itikadi na maana muhimu ya uongozi wa Taifa.
Sasa, Mimi binafsi, namuuunga mkono Edward Ngoyai Lowassa. Yako mengi ambayo kazuliwa huyu ndugu yetu; tunaambiwa tangu 1995 wakati Mwalimi Juluis Nyerere alipo tamka kwamba 'huyu kijana ninalo file lake; ana utajiri usiyoelezeka. Ana nyumba kadhaa.' Lakini huyo huyo Baba wa Taifa alimpenda sana Edward na kumpa madaraka ndani ya CCM na baraza la mawaziri. Kama Edward alikwa 'corrupt' swali ni kwaninini Baba wa Taifa hakumchukulia hatua za kisiasa na kisheria? Kwanini aseme hayo aliyoyasema mwaka 1995 wakati Edward Lowassa alikuwa akiongoza kupendwa dani ya CCM, ngazi zote na akitarajiwa ndiye angependekezwa kuw mgombea wa Urais? Jamani, wanazuoni, lazima mtafakari historia na hali halisi ilivyokuwa. Mhe Jakaya Kikwete hakuwa 'the favourite' candidate in 1995. Na Mwalimu alimtaka Ben Mkapa wakati ule awe Rais. Ilibidi Lowassa atoswe ki namna!
Mimi namfahamu Edward. Ninyi mnaujua huo utajiri wake au basi akitoa michango hapa na pale ni pesa zake? Kati yenu mna utajiri zaidi ya Edward. Edward alivumilia na kumsaidia mwenzake (nasita sasa hivi kutumia neno 'rafiki') Jakaya ashinde uteuzi wa mgombea wa CCM hapo 2005. Aliamua hivyo baada ya makubaliano ya 1995. Wapo wengi wa Tanzania waliyojitolea muhanda, wa hali na mali kuungana na Edward kumwezesha Jakaya Kikwete kuwa Rais 2005. Kati yao, ndiyo wamekuwa karibu na Edward katika kinyang'anyiro cha majuzi Dodoma. Imani yao ilikuwa kwamba pamoja na mkanganyiko wa Februari 2008 wa Richmond ambao hauna mashiko yoyote ya ufisadi kwa maana ya rushwa, Rais Kikwete angemfungulia mlango mwenzake Edward kuwa mgombea wa CCM.
Badala yake Edward bado akajengewa mzengwe wa utajiri kama Baba wa Taifa alivyofanya 1995. Hivi leo tukichambua nani kati yetu ni tajiri zaidi ya Lowassa tutakuwa na viongozi wanao kidhi mategemeo yetu?