Na rushwa atachukua vip kwa mita kumi watakufa njaaKiuhalisia Askari anapokuwa ana silaha hatakiwi ajisogeze wala asogelewe yeye na raia wawe na umbali wa mita zisizopungua kumi, polisi anatakiwa amuonye mtu anaemsogelea na kumumtafadhalishe asizidi au au asimkaribie au asiingie ndani ya eneo la mita kumi, ndvyo mkuu wetu alivyotusomesha pale Moshi...