Capital
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,452
- 1,038
Kilomita zaidi ya 11,000 kwa kipindi cha Kikwete tu ni upuuzi? huyu mzee kweli hamnazo.
Amesha jiuliza, Mkoloni, Nyerere, Mwinyi na Kikwete na yeye akiwemo hukohuko kabla ya ujio wa Kikwete walitengeneza kilo mita ngapi? jumlisha zote pamoja na za Slaa, uone kama zinafika hata nuzu za hii miaka 7 tu ya Kikwete.
Kumbuka, ukitoa mkoloni, Nyerere miaka 24 KM ngapi? Mwinyi (na Slaa akiwepo)? Mkapa ngapi? Kiwete zaidi ya KM 11,000.
Amma kweli akutukanae hakuchagulii tusi.
wewe huna tofauti na manunda wenzio kina jk na mzee wa gombe. hizo barabara km 11 elfu bado si kitu kwa tanzania. vibarabara vyenyewe vimejengwa hovyo, kila siku ajali. istoshe, kazi ya kujenga hizo barabara si ya kuchukuwa miaka saba, mwaka na nusu tu. akili za magamba zina matege!