Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,906
TUCHEKE
Bi harusi baada ya kuolewa alihamia kwa mumewe anayeishi na wazazi wake. Akakaribishwa na lecture kutoka kwa Mama mkwe wake, sheria na katiba za nyumbani.
Mama mkwe: Mimi ndio Waziri Mkuu wa nyumba hii, Baba mkwe wako ni Wazirii wa Fedha, Wifi yako naye ni waziri wa Maendeleo, mikakati na desturi za nyumba hii, Mume wako naye ni waziri wa usalama na kuongeza idadi ya familia hii. Je wewe mkwe ungependelea kua waziri wa wizara gani???
Bi Harusi: (huku akitabasamu kwa ujeuri, akajibu kwa haraka) Mpenzi Mama Mkwe, mie nitakua kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani’….