cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,670
- 78,169
Una roho mbaya weye,dah!Uzeeni lazima uwe mchawi.
Hayo yote umeyajuaje.. kama haupo hivyo!!!
Unaropoka ka ile ingine unayoandika urojo .
Una roho mbaya weye,dah!Uzeeni lazima uwe mchawi.
Vp na hiyo video ni ya kujipanga ?Kama hamkusikiliza hotuba.. basi kasikilizeni.
Picha ya kwanza na ya pili za kujipanga kupozi kupigwa picha.. hakuna lingine.. na unajua hilo. 😊
Asante, but si walimu tu. Huu ni msiba wa taifa. Utasema mwanao anasoma private na mtoto wa rafiki yako, shangazi yako, mjombako na majority ya watz wanasoma wap?Maskini walimu wanatia huruma![]()
Ntakutafuta unilogee mtu.Hayo yote umeyajuaje.. kama haupo hivyo!!!
Unaropoka ka ile ingine unayoandika urojo .
nu mwalimu Mbeya mjini


2nd from left aje nimpunguzie kamshahara 


Siri yangu![]()
Kumbe CWT wana Mali nzuri namna hiyo?Picha ya KWANZA2nd from left aje nimpunguzie kamshahara
![]()
Huyu braza yaani hajui hata kama kuna mtu anaongea maana inaonekana mbele yake kuna mtu anaongea ila hamwelewi kabisa halafu ni kama hamuoni vizuri au haamini kama kweli ni yule aliyemuahidi kitu!!!View attachment 1086062





una bei gani
una bei gani
Tulivyo wajinga tunapiga makofi kabisaa.......na tutamchagua tena.Sio hivyo tu,hata kakwepa kuahidi kuwa ataongeza mishahara mwakani na ni wazi hana uhakika kuwa hali itaruhusu kuongeza mishahara akaishia kutoa kauli/tungo tata kuwa ataongeza kabla hajatoka madarakani na wala msitarajien kuna siku watakuja na min budget ya kuongeza mishahara.
Huyu bwana ameshafeli na bado mtaona mengi siku zijazo(kajitishwa mzigo asiouweza na sasa umeanza kumuelemea na kuna siku atautua kwa aibu).